parking

Parking is the act of stopping and disengaging a vehicle and leaving it unoccupied. Parking on one or both sides of a road is often permitted, though sometimes with restrictions. Some buildings have parking facilities for use of the buildings' users. Countries and local governments have rules for design and use of parking spaces.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ziboreshe mfumo wa maegesho ya magari kuepuka kuwekewa tozo za uongo

    Mimi ni mmiliki wa gari binafsi na mkazi wa Manispaa ya Ubungo. Wiki mbili zilizopita nilifika maeneo ya Manispaa ya Kinondoni kwa gari langu, na tangu siku hiyo nimekuwa nikikuta kwenye mfumo wa tozo za maegesho kwamba ninadaiwa Sh500, huku eneo likioneshwa kuwa ni Kinondoni Municipal. Tatizo...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Drivers Wapewa Pigo as County Proposes Parking Fee Hike kutoka KSh300 hadi KSh535

    Madereva wa Nairobi wanaweza kulipa zaidi kwa ajili ya maegesho ya magari baada ya Nairobi City County kupendekeza kuongeza ada ya kila siku ya parking kutoka KSh300 hadi angalau KSh535 chini ya sera mpya ya ushuru na bei. Kaunti imesema ada za sasa hazitoshi kugharamia matengenezo ya barabara...
  3. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Temeke: Ukidakwa na hawa Wrong Parking unalipishwa laki mbili Papo kwa papo! Muda wa mavuno kwa Watawala

    Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini. Kwamba ndo ubunifu wa kuingiza kipato Halmashauri. Ukiwauliza Parking kwa Temeke zipo wapi hata za...
  4. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda KCCA bans on-street parking along kampala roads

    In a strategic move to decongest the city’s busiest thoroughfares, the Kampala Capital City Authority (KCCA) has announced an immediate suspension of on-street vehicle parking along key sections of Kampala and Jinja Roads. The directive affects the stretch from Kitgum House on Jinja Road to the...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Zile Kampuni za kukamata "Wrong Parking" lile ni genge la rushwa

    TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ujinga wanaofanya watu wa parking za mjini

    Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa halafu bili ije 5000 Hicho chuo kipo kama gorofani, juzi wakati nashuka nakuta mtu wa parking yupo na...
  8. KnucleBreaker

    JamiiForums Tanzania Msaada: Parking lot karibu na Ferry (Dar)

    Habari wakuu, Naomba kufahamishwa eneo salama na secure la maegesho ya magari karibu na ferry. Nahitaji kusafiri kwenda Zanzibar, niache gari kwa siku 3, nitachukua wakati wa kurudi ili kuepukana na adha ya usafiri. Asanteni.
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

    Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi. Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa: Trafiki: RTOC Parking: Parking
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mradi wa parking ya magari misugusugu umekufa wajanja wamepiga pesa

    Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori. Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni...
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Leo nimeenda toe to toe na watu wakuscan parking

    Kama mbwai na iwe mbwai . Imagine mtu nimepaki mkoko kwenye parking lot ya fremu ya biashara niliyolipia mwenyewe kitaa, Tena ndani ndani afu mtu na reflector yake ya kijani inakuja kuscan chuma ili iniandikie deni !???. Pumbafu kabisaa ..sisi tulimtuma maza akope hayo mamikopo ? Kwa hiyo...
  12. hencelshadetz

    JamiiForums Tanzania Car parking & pergola

    Pata car parking shade za kisasa na sehemu za kupumzikia na family yako kwa mawasilsiano whatsaap/call 0767583628
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  15. Jaluo_Nyeupe

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa namna ya kuangalia deni langu la Parking Fees

    Habari wanajamvi. Naomba kufahamishwa namna ya kuangalia deni langu la parking fees pamoja na kupata statement ya deni hilo. Nimejaribu kuingia website ya tarura lakini inaonekana website hiyo si salama
  16. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 1BEDROOM APPARTMENTS DESIGN PLOT SIZE 20X20M 6CAR PARKING CALL US TO GET YOUR DESIGN +255624004650

    EACH UNIT HAVE 1BEDROOM,LOUNGE AND KITCHEN
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa parking na sideways kwa kutumia tiles na pavements blocks

    Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter Kisha kuna gharama ya usafiri Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo Kuna gharama za zenge, rough cement au mchanga Kuna ufundi Kuna usafi wa kila siku.. Ama kweli kizuri...
  19. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania KULIPA PARKING WAKATI WA KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

    Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale. Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu...
  20. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
Back
Top Bottom