Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,269
- 5,888
Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano.
Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!"
Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa nasimama kwenye taa nyekundu popote pale hata kama hakuna movement za watu. Kama wana ushahidi kuwa nimepita waoneshe.
Walivoona nimekomaa kweli kweli, wakaenda mbele ya gari wakachungulia zile Stickers kwenye kioo wakaniuliza "Sticker ya Nenda kwa usalama barabarani iko wapi"
Nikajibu kwa kifupi tu "Sina"
Nilikua nishaanza kupata hasira.
Yule mkubwa wao (msenge) akatoa order tena:
"Muandikieni huyo kosa la kutobandika sticker"
Hasira nilizokua nazo sikutaka kuongea na ng'ombe yeyote. Nikatulia. Wakaandika ticketi yao nikasepa.
Sasa wakuu sitaki situation kama hii initokee tena. Hizi sticker za "Nenda kwa Usalama" naipata wapi.
Zinapatikana wapi. Zinauzwa?
Kuna hela/hongo natakiwa kutoa ili niipate?