HIVI UNAJUA KAMA.UKICHUKIA KUNA MISTARI INAPOTEA GHAFLA KIGANJANI KWAKO?
Yes kama ulivyosoma
no research no right to speak
fanya uchunguzi kesho lete mrejesho
Zaburi hizi
1)zaburi ya 23
(wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17)
2)zaburi ya 27
3)zaburi ya 64
4)zaburi ya 91
5)zaburi 112
(wagalatia 3:29,mithali 3:29)
6)zaburi ya kwanza 1
.(yeremia 17:7-8,wafilipi 4:19)
7)zaburi 30
Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama zilivyo.
Ninawashauri muirejeshe ile Post kwa heshima ya Wakiristu.
ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo...
"Kama baba wa familia anasema 'tutajenga nyumba kubwa mwaka huu', unauliza maswali ya msingi: Bajeti iko wapi? Fundi ni nani? Nyenzo zimenunuliwa? Tutamaliza lini?" Vivyo hivyo, tunapaswa kuihoji Serikali.
Zingatia: Tarehe mosi Aprili 2026, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi
Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio.
Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
HATARI: SIRI ZILIZOFICHWA ZINAZOENDELEA KUBADILI BIBLIA :-
LAZIMA USOME IKIWA WEWE NI MWFUASI WA KWELI WA KRISTO
Ni ushuhuda wa ajabu na wa kugusa sana. Tafadhali chukua muda wako na uusome hadi mwisho
MABADILIKO YA MISTARI YA BIBLIA
( MISTARI YA BIBLIA ILIYOCHAKAKULIWA )
Na Amina Hassan
▪️...
Wanavyokunjaga sura na kujifanya wababe na wajuzi huwezi amini wajinga wajinga CCM wanawapelekesha kama mazuzu. Huwezi amini CCM wanawaona kama matoy tu yasiyo na chochote wala lolote.
Yaaani hawa nao Oktoba wanapigishwa mistari kutiki wakati CCM, Tume na NIDA walishaamua kura ziweje na ushindi...
Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na matukio na wakati kila leo ni yaleyale hayabailiki.
Situkeni!!
Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada.
Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi.
Huo ni ugonjwa jamani kama magonjwa mengine alisema mwalimu,
Mwenyekiti alifoka na kumwambia kaa...
Waungwana nawasalimu,
Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema.
Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
Mark Court amekuwa mtu pekee ambaye amekuwa akipaka rangi kwenye pini kwenye magari yote ya Rolls-Royce tangu 2003.
Kazi yake ni hatua ya mwisho katika mchakato wa utengenezaji na makosa yoyote katika kazi yake ina maana kwamba gari yote itakuwa repainted.
Lakini kazi yake inahusisha mengi...
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu.
Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi...
TUCHUKUE LIPI, TULIACHE LIPI?
STIMU ZIMELIPIWA (COPY MY MOTION)
Hii ni segment mpya ambayo itakuwa inaangazia wasanii waliotamka kauli zinazokinzana.
Tuanze na John Simon "Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini" kwenye wimbo wake uliotajwa hapo juu.
"I'M BIG FISH IN THIS OCEAN" DAKIKA ya kwanza...
Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki.
Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda.
Hakika baada...
Wajumbe habari za muda huu?
Niko njiani natembea kurudi zangu nyumbani kutoka kilimoni. Hatua mbili mbele kakatisha mjusi wa mistari mistari. Nilivyopiga hatua sijakaa sawa kapita nyoka huyo wa mistari katikati ya miguu yangu akaunga kule alipokimbilia mjusi.
Uongo mbaya niliishiwa nguvu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.