Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,271
- 5,892
Manzi wangu aliniomba niende na nyama choma home wakati natoka kumsindikiza mshikaji wangu Airport.
Basi nikapitia pale Mwenge kwa huku nyuma karibu na jengo la zamani la HESLB kuna restaurant wanachoma nyama kizazi sana.
Nikafika pale, nikaenda kuweka order nikawaambia wanifungie.
Wakati nasubiri chenchi nikamuona mshikaji wa TARURA amevaa reflector anaizungukia gari yangu kwa nyuma. Akasimama kidogo, huyo akasepa.
Nikarudi pale nikaizunguka gari pande zote kucheki labda kaacha risiti ya malipo. Empty.
Nikakumbuka siku hizi kuna utaratibu wa Electronic payments ya Parking fees. Basi nikawasha gari nikasepa.
Sema nikafika mbele kidogo (kwa Kakobe) akili ikacharge sasa... Maana hata kule Airport nilipark zaidi ya masaa mawili napiga story na wana. Pia kuna hotel pale Sinza Lego tuliingia kuchukua mizigo ya mshikaji nilipark kama dakika 40 hivi.
Sema kote kule sikuona watu wa TARURA wanalisogelea gari. Lakin sikua 100% sure! Nikaamua kuingia link ya TARURA kucheki kama nadaiwa.
Nimekuta yule mshikaji wa pale Mwenge nilipotoka kuchukua nyama choma ameni-charge parking fee mara nne. Maana zile Control Number hazija achana sana, wakati pale nilisimama kwa dakika hata tano hazikufika.
Nadhan mshikaji wakat anabonyeza button ya malipo ali-click mara nne bahati mbaya (pengine mtandao ulikua unasumbua).
Sasa hivi nimejifunza. Kila nikipark mahali. Kabla ya kuondoka nachungulia kwanza kama kuna fala kanibambikiza extra fees. Uzuri hawaendagi mbali. Namtafuta mguu kwa mguu tusaidiane kulipa deni pasu kwa pasu.