Nimepoteza dongle ya mouse yangu wakuu, nifanyeje!!

Mlolongo

JF-Expert Member
Jul 4, 2019
3,269
5,883
Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu.

Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu...

Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya button zinazingua.

Screenshot_20220105-103722.png

Naweza nikapata replacement yake kweli? Ama 2.4 GHz frequency bands haziingiliani baina ya antenna moja na nyingine?

Nifanyeje wakuu... Nakosa madili kibao.
 
Nyingi zinaingiliana. Nilinunua mouse peke yake kabla sijaipata yenye keyboard, niliponunua yenye keyboard nikakuta zinaingiliana
itaweza kuwa compatible na keyboard?
Maana nilinunua keyboard na mouse as a full package.
 
Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu.

Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu...

Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya button zinazingua.

View attachment 2069088

Naweza nikapata replacement yake kweli? Ama 2.4 GHz frequency bands haziingiliani baina ya antenna moja na nyingine?

Nifanyeje wakuu... Nakosa madili kibao.

Hapo ni sawa kama ume poteza mouse!
Kwa hiyo suluhu ni kununua mouse mpya!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom