A Batá drum is a double-headed drum shaped like an hourglass with one end larger than the other. The percussion instrument is used primarily for the use of religious or semi-religious purposes for and originates from the native culture land of the Yoruba, located in Southwestern Nigeria, as well as, but not of origin, by worshippers of Santería in Cuba, Puerto Rico, and in the United States. The Batá drum's popular functions are entertainment and to convey messages. Its early function was as a drum of different gods, drum of royalty, drum of ancestors and drum of politicians. Batá drum impacted on all spheres of life in Yoruba land.
Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu
Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida
tumeruka music na mke wangu na familia then...
Natumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya.
1.Tukale nyama choma
2.Tunywe(japo mi situmii)
3.Tusikilize mziki(zilipendwa) like oriva ngoma na Samba mapangala
4.Tucheze
5.Tuwaescort...
Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri .
Natanguliza shukran.
Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.
Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike ni kipi kitatokea wakuu?
Nauliza nijue tu si kwa ubaya kabisa kwa wataalamu wa sayansi za wanyama...
NIPO Zanzibar, nimeshangazwa na hotel zimechangamaka kwenye hii sikuku kwa kweli wakristo mnajitahidi kusherehe, sikuku ya idd sikuona kundi kubwa la watu kuja zanzibar vacation ila xmass,new year, na leo Easter, hongereeni Aiseee.
Nikapata muamuko kuangalia vacation za Dubai, daah Aiseee watu...
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy.
Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao.
Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao.
Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'.
Nikawaelewesha nilichomaanisha wakakaza fuvu.
Aisee, nilikasirika sana hadi nukaamua kuachana na dhehebu hili...
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
Akina Yericko Nyerere na James Mbowe ndiyo watoto wenyewe, tena watoto wa karibu sana, mmoja akiwa mtoto wa damu.
Ukiona wametangulia hao, jua baba yao yuko nyuma anausoma mchezo, wakifanikiwa basi naye atakuja kwa speed ya chopa.
Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi.
Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu watu wanajua hawatakuwepo
Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa.
Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni mla ugali wa muhogo na dagaa daily ambaye mshahara wa mwezi uliopita bado anao na posho ya week...
Wakuu wa humu heshima yenu!
Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania.
So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko.
Niko safarini, na...
Tukizungumzia hasa mitoko ya dating.
Inafahamika wengi wenu huwa mnapigwa foto na washikaji zenu ila cha ajabu huwa hamuwapost, mnajipost wenyewe tu.
Jiulize kwa nini mwanamke hampost mwanaume wake hata kama kuna picha ya pamoja walipiga wakiwa dating?
Hapa ndio ujue wanawake ni matapeli...
Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya..
Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila...
Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena .
Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha yenyewe mafupi haya , time yoyote unaweza ukakata moto na pesa zako
usifaidi wa kafaidi wengine ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.