Search results

  1. Kalpana

    Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

    Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.
  2. Kalpana

    Tamthilia ya Unfaithfull Azam Tv ni ya moto

    Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi.. Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani... Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin Karibuni...
  3. Kalpana

    Pongezi kwa mashabiki wa Simba

    Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana... Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao.. Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama...
  4. Kalpana

    Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

    Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake. Sifa zake; Mweusi Urefu Size ya kati. Ana elimu ya degree. Ana kampuni yake. Ana maisha...
  5. Kalpana

    Je, ukivamiwa na nyuki ufanyeje kujiokoa?

    Mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Kigoma afariki baada ya kuumwa na nyuki... Jirani na kwake kuna mwembe watoto walipotoka shule wakarusha mawe na kupelekea nyuki kutoka na kumvamia mwalimu huyo. Chanzo: BBC Hivi nyuki wakikuvamia unatakiwa ufanyeje kuepusha madhara? Kifo hiki ni cha...
  6. Kalpana

    Hala hala kuna Kisonono cha kiwango cha juu chaingia...kinaitwa "super gonnorhea"

    Unapata matibabu ugonjwa haundoki mwilini kwa muda mrefu.... Unaweza ambukiza kijiji kizima kabla hujaanza kuona madhara yake... Unaweza ng'ooka mjegeje au kupukutisha Kipochi manyoya chote.... Inasababisha kuwa tasa kabisa... Gonjwa lipo Kenya hapo na Tanzania nadhani lipo... Haya malalamiko ya...
  7. Kalpana

    Hawa ndo wadada wazuri Duniani

    Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
  8. Kalpana

    Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

    Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu? Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
  9. Kalpana

    Jacqueline Wolper afanyiwa 'send off'

    Jacqueline afanyiwa 'send off' akiwa katika maandalizi ya ndoa hapo baadaye. Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi refu. Kila la heri, watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndiyo bahati kama zote.
  10. Kalpana

    Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

    Jamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala, yaani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali. Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipozaje? Maana!
  11. Kalpana

    Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

    Uwakili ni kazi ya ajabu sana kwakweli, yaani unaanzaje kumtetea mtu katili kama huyo Padri, anaeweza kubaka watoto wadogo? Mimi ni Mkatoliki kabisa ila naomba sana sheria isipindishwe kwa huyu mtu, apewe adhabu stahiki iwe fundisho kwa wote wanaonyanyasa watoto kihisia kwa sababu ya mwamvuli...
  12. Kalpana

    DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) angalieni roho za watu

    Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa...
  13. Kalpana

    TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
  14. Kalpana

    Pole sana Wema Sepetu kwa yaliyomkuta mama yako

    Nakupa pole kwa yaliyomkuta mama yako leo kuwekwa hadharani kwa ile video alopost Mange Kimambi kama mtoto utakua umeumia sana kama mm tuu nimeumia hivi sembuse wewe? Jamani mama zetu nini kimewakumba mpk kujirekodi katika umri huu? Mnajua kabisa hali ya mitandao kwa sasa ilivyo na bado unapata...
  15. Kalpana

    Yanga mjitathmini na ubingwa wenu wa kihistoria

    Wasalaaam wana jukwaaa..kwanza nipende kuwapongeza watani kwa kuchukua kombe msimu huu baada ya kuhenyeka kwa miaka minne bila bila? Yani achana tu na kukosa kombe walipigwa na uhaba wa pesa si mchezo yani kiufupi walihenya hivyo basi kwa heka heka hizo hatuna budi kuwapongeza. .mimi Simba dada...
  16. Kalpana

    Wazazi tuwafuatilie watoto wetu Mashuleni, Majumbani, Makanisani na hata wanapocheza

    Watoto wanapitia mambo mengi ya unyanyaswaji mashuleni, kupigwa na walimu bila sababu maalum kisa tu mwalimu hampendi mtoto, anapitia changamoto za watoto wenzie wakorofi wana mbully mara zingine au watoto watukutu kuwafanyia vitendo vibaya. Makanisani napo si mahali salama kabisa. Tusiamini...
  17. Kalpana

    Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

    Unaposema ukubwa wa kitu ni kwenye nyanja nyingi lakini kwa leo nataka tuu tujikite kwenye mitandao ya kijamii. Hebu angalieni hapa chini
  18. Kalpana

    Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

    Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati. Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?
  19. Kalpana

    Timu yangu Simba na mashabiki wote

    Naona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi 1) Hii hali inashusha morale ya wachezaji na kujisikia inferior kwa sababu hata sisi tuu tunaowashangilia...
  20. Kalpana

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Katika kagua kagua simu nimekutana na msg ya mchepuko anakumbushia ile biashara aliyoambiwa aaangalie kama itafaa afunguliwe biashara tayari mbona kama mume amenyamaza? Jibu la mume ni kwamba "Tutaongea mama". Nilipata ka mshtuko na ka hasira kidogo lakini baadae nikaingiwa na huruma sana...
Back
Top Bottom