tamthilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tamthilia iliyoliza wengi

    Baada ya hivi karibuni kuangazia mchango mkubwa wa mwanamuziki Twenty Percent (20%) katika kuandika mashairi yenye mafunzo mazito kwa jamii, leo mtazamo unahamia kwenye upande mwingine wa kipaji chake usiofutika kwa urahisi: sanaa ya uigizaji. Katika miaka ya 2010 hadi 2016, 20 Percent...
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya spartacus: Vita, Usaliti & Ukweli wa Historia

    Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus. Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi siku hizi ni kama wapo kwenye Tamthilia ya Game of thrones

    Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌 Waliowahi kuiona watanielewa😂 Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
  4. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Ndoa Kwa miaka ya sasa ni tamthilia pana sana, M/Mungu labda akusimamie tu kwenye hiyo sector

    Vitaa Labda uwe na pesa na umpate mwaminifu the sometimes uwe mmekubaliana , uwe unaweza kumridhisha mwenzako , mridhishane wote, mvumiliane, sijui kama yote haya yanawezekana Ila ndoa ni tamu sana ukipata partner wako ambaye mmekubaliana hata kama hamna pesa nyingi kiasi hicho ila...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya HUBA imeshapoteza mvuto, imebaki show off tu

    Wanajaribu kuleta watu wenye majina ila kusema kweli hakuna jipya zaidi ya kuendeleza stori isio na maana. Kilichobaki ni kushangaa tu wadada wenye makebo makubwa tofauti na hapo hakuna jipya
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Jux anaigiza kwenye tamthilia moja Nigeria

  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
  8. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania; Mchezo wa Viti, Nguvu na Hila Kama Tamthilia ya Game of Thrones

    Katika siasa za Tanzania, tumeona mwendelezo wa mapambano ya mamlaka yanayofanana na tamthiliya maarufu ya Game of Thrones. Ingawa hatuna mapanga na mizinga ya kale, tuna hila, mikakati ya kisiasa, mapambano ya madaraka, na mapatano ya siri yasiyoeleweka kwa wananchi wa kawaida. Kama ilivyo...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Dunia ni nzuri mno sijawahi ona kwa Tanzania, naomba kuwajua wale wahusika

    Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa sindi 4. Sindi mwenyewe 5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
  10. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  11. Cordy bnei shirk

    JamiiForums Tanzania Soundtrack ya tamthilia ya evermore Azama two

    Wakati leo napata chai kwa wakwe zangu,kwenye luninga kukawa na tamthilia asubuhi hii kwenye Azam two. Katikati ya tamthilia ilipigwa nyimbo flani hivi kali sana ya kiswahili kama soundtrack ambapo mwanamke analalamika alivochoka anavofanyiwa na mpenzi wake sasa wakati anachukua virago vyake...
  12. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Jua kali tamthilia wamezingua sana

    Habari za Jumatatu Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mbona tamthilia ya dunia haijadiliwi humu ndani

    Hii tamthilia inafanya vizuri kwa sasa Ina trend sana YouTube visa vyake ni usaliti,maisha ya ndoa,unafki w marafiki,ulevi,uwongo.. Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.
  14. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  15. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora kabisa kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami. Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania. Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za namna ile kedekede, kwani tunanyimwa uhondo haswa. Wahusika wote kwenye entertainment industry tunaomba...
  16. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

    Wakuu… Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine. Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!! Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
  17. O

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

    Kama isomekavyo Azam tv tamthilia ipi waweza angalia familia nzima 1. Nambari 10 2. Alicia 3. Evermore 4. Kombolela Tuanze na hizi kwanza
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hongereni tamthilia ya Jua Kali. Mmewekeza zaidi katika uhalisia na uelewedi na sio makalio na show off.

  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

    Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa hawana shukurani hasa ndugu ata umtende jema gani bado haoni anaona wewe kumsaidia ni haki yake Pili...
  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

    Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao. Najua mtaanza na stori za kutengeneza...
Back
Top Bottom