The Padri War (also called the Minangkabau War) was fought from 1803 until 1837 in West Sumatra, Indonesia between the Padri and the Adat. "Padri" were Muslim clerics from Sumatra who wanted to impose Sharia in Minangkabau country in West Sumatra, Indonesia. "Adat" comprised the Minangkabau nobility and traditional chiefs. The latter asked for the help of the Dutch, who intervened from 1821 and helped the nobility defeat the Padri faction.
PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap, amemteua Padri Profesa Emmanuel...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026.
Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao.
Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao.
Mfano mtu kama...
Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p.
Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces.
Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa.
Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa.
Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Wakuu,
Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo
Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992)
1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri...
Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango ambavyo ni fake.
Lakini Polisi Temeke wamegoma kuicheza script wamewataka husika wakate rufaa...
Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu?
Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
Ni takribani siku nne, kumekuwa na mjadala mzito umeibuka baada ya taarifa kuwa vijana wawili wanaodai kuandika barua ya malalamiko kwa Balozi wa Vatican (Papal Nuncio), Archbishop Angelo Accatino wakimshtaki Padre Charles Kitima. Tukio hili limeibua maswali makubwa si tu juu ya madai yenyewe...
Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano,
Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
"Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati umepangwa." Katibu Mkuu TEC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.