wolper

Wolper is a surname. Notable people with the surname include:

David L. Wolper (1928–2010), American television and film producer
Pierre Wolper, Belgian computer scientist

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Juma Lokole ampost mke mwenzie Wolper, aongea na Richmitindo live na kuthibitisha

    Mtangazaji na mwanamtandao maarufu Juma Lokole ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kuweka wazi mazungumzo yake ya simu na mfanyabiashara pamoja na mbunifu wa mavazi, Rich Mitindo. Katika mazungumzo hayo, Lokole amemchana Rich Mitindo kuhusiana na kile kinachodaiwa kuwa ni mahusiano yake...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mashalove amlipua lokole kumrekodi mulky akimtusi wolper kisa Isarito

    Sakata linalowahusisha waigizaji Jacqueline Wolper, Mulky na Isarito limezidi kuchukua sura mpya baada ya Mashalove kuibuka na kumlalamikia mtangazaji Juma Lokole kuhusu namna alivyolipeleka suala hilo kwenye mitandao. Mashalove amemshutumu Lokole kwa kumrekodi Mulky wakati akizungumza kuhusu...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Juma lokole anakwambia wolper na mulky vita ni kubwa ya kugombania mwanaume isarito

    Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Wolper ajibu shutuma za kuiba mchumba wa mwanadada muigizaji Mulky wa juakali

    Juma lokole amedai kuwa Mulky wa Juakali na Wolper wameshushiana maneno mazito wakiwa wanamgombania Isarito. Juma Lokole ana voice za Wolper anazojisifu kuwa ingawa umri umeenda ila ameweza kumchukua Isarito mikononi mwa Mulky. ''Wolper na mulky wa juakali wameshushia maneno mazito wolper...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wolper: Katika hili, namwombea msamaha Madam Rita, hakuwa na nia ya kumdhalilisha mtu, hakuwa sawa

    NYOTA wa Bongo Movies Tanzania ambaye pia anakua kwa kasi kwenye ujasiriamali, Jacqueline Wolper amepiga moyo konde kusimama na bosi wa Benchmark inayoandaa shindano la kusakura vipaji Afrika Mashariki (Bongo Star Search au BSS), Rita Paulsen 'Madam Rita' kufuatia kadhia iliyojitokeza usiku wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WOLPER kubadili dini tena; Mchungaji T.A.G amuonya

    Tetesi za mjasiriamali aliyejipata miaka ya karibuni na staa wa filamu Tanzania, Jacqueline Masawe Wolper kwamba yeye na watoto wake wapo njiani kubadili dini, ndiyo trendi ya mitandaoni kwa sasa. Habari kutoka huko mitandaoni zinasema kuwa, Wolper anatamani kutoka kwenye Ukristo ambao ni wa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wolper: Steve mnamtukana na kumdharau siku akifa mtamkumbuka sana

    Steve mnaomtukana na kumdharau siku akidondoka alafu tukapitia vitu fulani fulani ndio tutamkumbuka sana"
  8. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane "surprise" ya engagement ya Wolper (picha)

    1. Mvalishwa Pete wala hakuonyesha kustuka. 2. Huenda Hata waandishi na MC aliwalipa yeye mwenyewe. 3. UMRI ukisogea Noma sana. Unafosi kila kitu. 4. Ni kama alijivalisha Pete mwenyewe. **PICHA kwa Hisani ya MC Garab
  9. Nifah

    JamiiForums Tanzania Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Ndoa ndoano! Mambo sio mambo! Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi. Ikumbukwe Wolper alifunga ndoa takatifu na aliyekuwa baba wa mtoto wake Richard ‘Rich Mitindo’ 19/11/2022...
  10. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Wolper afanyiwa 'send off'

    Jacqueline afanyiwa 'send off' akiwa katika maandalizi ya ndoa hapo baadaye. Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi refu. Kila la heri, watu wanatafuta ndoa hawapati ila huyu umri umeenda ila ndiyo bahati kama zote.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Rich Mitindo ataja mambo matano aliyopatia kumzalisha Wolper, mtoto wao amiliki bodaboda tatu

    Mfanyabiashara Rich Mitindo ambaye anajulikana kuwa, ndiye baba wa mtoto Paschal 'P' aliyezaa na msanii nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, anatajwa kuwa, mbali na kumzalisha nyota huyo, pia amembadilisha tabia. Kauli kutoka kwenye kinywa cha msanii nguli wa kiume, amesema...
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Wolper: Naapa kutokumuacha salama Baba P endapo atazingua

    Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano. Jacqueline Wolper ameongeza kusema endapo Rich Mitindo akimzingua hataweza kumvumilia, atatoa taarifa kwa kinachoendelea kupitia akaunti...
  13. warumi

    JamiiForums Tanzania Wolper ni Mjamzito: Rich Mitindo aweka picha zao za "maternity photoshoot" mtandaoni

    Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye mwenyewe kukana na hata kugombana na mwigizaji mwenzie Shamsa Ford, ameonekana mwenye furaha huku...
Back
Top Bottom