wema sepetu

Wema Sepetu (born 28 September 1990) is a Tanzanian actress and beauty contestant who won the Miss Tanzania contest in 2006 Miss Tanzania. She represented Tanzania in Miss World 2006, which was held in Poland. She later became an actress in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Wema Sepetu?

    Watu wanabadilika sana huwezi amini kama huyu ndo wema sepetu.
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ampa onyo kali Juma Lokole kuhusu Mume wake

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amempa onyo kali Juma Lokole akitaka aache kumzungumzia vibaya baba mtoto wake, Whozu, akidai tabia hiyo imeanza muda mrefu. "Heshima ni kitu cha bure sana kwenye maisha ya kila binadamu. Kuna jambo linanikwaza sana, na nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwako Juma...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Sinza Mapambano tunaoishi karibu na Mama Wema Sepetu tunasumbuliwa na kelele za muziki nyakati za usiku

    Habari wana jamvi, Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo. Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tarehe 23 July 2026 Kuna Wapuuzi watalipa Tsh. Million 5 kumuona mtoto wa Wema Sepetu!

    Kwamba tar 23, ndio 40 ya dogo. Sasa maza kageuza mtaji kwa kuchaji laki 1, 3, 5 na Mil 5 kumuona bwana mdogo. Watu mna hela za mchezo.
  5. bless on

    JamiiForums Tanzania Usikate Tamaa: Jifunze Kutoka kwa Wema Sepetu

    Yapo Mengi sana ,Nimejifunza kwa Muda mfupi sana , Wakati nikiendelea kuona majibizano ya wafuasi wa wema sepetu na Anti -wema sepetu, So sitaki kujiingiza huko katika Majibizano hayo , Ila Mimi natoa funzo muhimu sana katika Jamii , Mara Nyingi Watu wengi huacha ndoto zao kwa sababu ya...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Sitaki kumuona Whozu, sipendi akae kwa Wema, aondoke: Mama Wema Sepetu

    Ilikua ni siku tulivu, ambapo watu walikua wakisherekea, happy birthday ya wema sepetu, ULIPO fika muda wa wasaa wa mzazi, mama wema alieshika, kipaza sauti, nakubadili furaha ya wema kuwa majonzi, baada ya kudai wema amekua anatakiwa aolewe, lakini bado kaendekeza usela, mama huyo aliendelea...
  7. Sweet16

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Whozu wabarikiwa Mtoto wa Kiume

    Hatimaye mwenyezi Mungu ameamua kujidhihirisha wazi kupitia kwa aliyekuwa beautiful onyinye miaka ya nyuma na mrembo aliyependwa sana na watanzania. Wema Isack Sepetu wakati wa huko nyuma aliwahi kusema alifanya makosa katika abortion aliyowahi kufanya miaka ya nyuma aliambiwa na madaktari...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza kwa Wema Sepetu kibiashara kama balozi utaingia hasara kubwa haijawahi kutokea. Nimeambatanisha graph

    Kwa makampuni ya kibiashara ambao mlifikiria kumpa ubalozi Wema Sepetu futeni hilo wazo mara moja . Wema watanzania walikuwa wanampenda sana mpaka wakambatiza jina la Tanzania Sweetheart , fan pages nyingi zilifunguliwa kwa ajili yake. Ili kumshambulia Wema Sepetu ilipaswa ujipange haswa la...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu wakati wako umeisha, usiingilie kizazi cha sasa

    Ulipata bahati ya kila aina japo ule msemo bahati huja mara moja ila wewe ulipata bahati sana. Ulipata kila aina kitu na mpaka wanaume ambao walitaka uwe sehemu yao na kukupa kila ukitakacho. Sasa unapoleta kejeli na kukebehi tunajua umechanganyikiwa sasa. We tuungane na sisi ambao umri...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nafanya biashara kwa sababu ya mama Samia

    Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wema Sepetu: Ukisema huyu Mama hasitahili nakuona kama hauko 'Ok'

    Mlimbwende kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania na aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu ameweka wazi Rais Samia kumrahisishia mazingira ya kazi zake kupitia taasisi yake ya Wema wa Mama na hapa anafunguka.
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wema Sepetu: Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Daraja la Magufuli, Maana nikisema mimi inaleta ukakasi

    Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi,Naombeni nipumzike...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wema Sepetu hiki ni nini ulichokivaa, ona unavyoshambuliwa mitandaoni

    Wakuu! Tanzania's Sweetheart Wema Sepetu amepokea ukosoaji mkubwa kutoka kwa watumiaji wa Mitandao ya kijamii kwa hiki kivazi
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Wema Sepetu kocha wa Jituzi FC alivyowafokea wachezaji wake wasiojituma Samia Cup

    Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wema Sepetu kufunga ndoa 2025 na kigogo wa serikalini

    Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!! Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili. Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu...
  16. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Mabinti, kuna la kujifunza hapa

    Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake. Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli. Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Whozu: Nikiachwa na Wema Sepetu nitajiua

    Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini. Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema, "Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

    Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto. Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama. Lakini kiuhalisi ni...
Back
Top Bottom