faiza

  1. Ndama dume

    Dada Faiza njoo hapa utueleweshe vizuri

    Kama ambavyo kichwa kinamuomba dada yetu mpendwa na mtetezi wa imani yake karibu hapa utuambie mbona hizi njemba zimeingia msikitini na viatu? Swali langu lijibiwe kwa kiimani zaidi naomba watu wa protocol mtulie kwanza umbea hatuhitaji na tunajuwa kwa nini waoo hawakuvua ila majibu yajikite...
  2. SANCTUS ANACLETUS

    Raisi Magufuli likatae pendekezo la kuwashughulikia mitume na lile la kujenga makanisa mpaka kwenye vituo vya usafiri wa Mwendokasi.

    Wataalamu wa mawazo na wanazuoni: Inaelekea watu wengine sifa za msingi na Kuu za Mungu hawazijui. Inaelekea kana kwamba baadhi ya dini hazijachukua wala kutenga muda wa kutosha kusoma Falsafa kabla ya kuamua kusoma Teolojia. Ingalikuwa wahusika waliwekeza muda wa kutosha kusoma Falsafa ili...
Top Bottom