cecil mwambe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kalpana

    TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
  2. nez-o

    Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Wadau, leo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi aliamua kumvua cheo Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Chiwata tena mbele ya halaiki ya watu kisa kakosa hela ya kutoa harambee ya kuchangia maendeleo ya Kata. Mkutano huo ulikuwa umeandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe...
  3. J

    Cecil Mwambe: Mimi ni CCM mwenzenu nilirudishwa bungeni na Spika Ndugai kuigiza

    Wajumbe waliopiga kura za maoni jimboni Ndanda walimbana vilivyo mtia nia Cecil Mwambe juu ya uhalali wa uanachama wake ikizingatiwa kuwa baada ya kupokelewa na komredi Polepole, Mwambe alirudi tena bungeni kuitumikia Chadema. Mwambe alikiri kurudi kwake CCM na kupokelewa na Polepole lakini...
  4. Replica

    Uchaguzi 2020 Aliyekuwa mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe aibukia CCM kuchukua fomu kutetea jimbo

    Aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kupitia CHADEMA, Cecil Mwambe amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi.
  5. Roving Journalist

    Kesi dhidi ya Spika Job Ndugai na Cecil Mwambe kutajwa kesho. Ni ile ya kuomba tafsiri ya Mahakama baada ya Mwambe kurudishwa Bungeni

    Kesi iliyofunguliwa na shirika la Civic and Legal Aid Organization (CILAO) kuomba tafsiri ya Mahakama Kuu kufuatia kitendo cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumrejesha Bungeni Ndg. Cecil Mwambe itatajwa kesho tarehe 03 Juni 2020 sa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Maige, Jaji...
  6. J

    Pascal Mayalla tafadhali Jumamosi tuletee wataalamu wa sheria tujadili "Uhalali" wa ubunge wa Cecil Mwambe na Nimrod Mkono

    Naelewa kuwa wewe Pascal na mwenzio Dotto ni members humu na mmekuwa mkilipa umuhimu wa juu hili jukwaa katika kipindi chenu cha Jicho letu ndani ya habari. Nakumbuka hata juzi ulimuuliza waziri wa habari mh Mwakyembe juu ya misukosuko ya kimahakama anayokumbana nayo mkurugenzi wa Jf mh Max...
  7. Influenza

    Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Bungeni, Cecil Mwambe basi wamshauri (Mwambe) amwandikie Spika barua ya kujiuzulu kwake, halafu waone kama ataendelea kukaa Bungeni. Spika Ndugai amesema hayo Bungeni leo Mei 12, 2020 na kusema kuwa maamuzi hayo yote ya...
  8. J

    Mbunge Cecil Mwambe ameidhihirishia dunia udhaifu mkubwa wa Tume ya Uchaguzi

    Tume ya Uchaguzi ( NEC) ndio husimamia na kuendesha chaguzi za Rais, wabunge na madiwani. Vyama vya siasa ni wadhamini tu wa wagombea ambao kwa mujibu wa katiba ni lazima wawe wanachama wa vyama vya siasa. Bunge kama muhimili ni chombo cha Wananchi ambacho hupokea majina ya wabunge ama wa...
  9. J

    Zitto Kabwe na Cecil Mwambe waliondoka CHADEMA kishujaa bila kuogopa njaa!

    Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge. Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya. Maendeleo hayana vyama!
  10. Erythrocyte

    Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

    '' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
  11. Nanyaro Ephata

    Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  12. M

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

    WanaJF duniani kote,Wasalaam! Ni asubuhi tulivu kabisa katika jiji la Dar es Salaam huku habari kubwa inayovuma ikiwa ni mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA chenye wanachama milioni 6 na nusu wenye kadi. Kama ripota wa JF nipo hapa Mlimani City nimekesha kwa lengo moja tu la...
  13. J

    Cecil Mwambe: Ninakwenda kuuangusha mbuyu kwa shoka moja tu

    Mgombea nafasi ya mwenyekiti wa Chadema taifa mh Cecil Mwambe amesema leo anakwenda kupiga shoka moja tu na mbuyu utakuwa chini. Mwambe ambaye ni mbunge wa Ndanda amesisitiza ili kuuangusha mbuyu hakuhitaji mbwembwe nyingi bali pigo moja tena pigo takatifu. Kumbukeni kisa cha Daudi na Goliati...
  14. J

    Tundu Lissu anamuunga mkono Cecil Mwambe ndio kisa cha Kubenea kuondoa jina lake

    Inasemekana kuwa mwanasheria mkuu wa Chadema wakili msomi Tundu Antipas Lisu anamuunga mkono Cecil Mwambe kwa nafasi ya mwenyekiti. Tetesi kutoka korido za Ufipa zinadai Tundu Lisu anapendelea zaidi kufanya kazi chini ya Mwambe kwa sababu siasa za zama hizi hazitaki mambo ya usiri usiri na...
  15. M

    Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

    Sasa ni Rasmi.Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chao leo cha kikatiba kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika Jumatano Desemba 18. Katika kuonyesha kukomaa kwa Demokrasia ndani ya chama hicho Kamati Kuu iliwahoji wagombea...
  16. Petro E. Mselewa

    Kwanini Sumaye na Mwambe waligombea kwenye Kanda zao na tena wanagombea Uenyekiti Taifa?

    Mzee Fredrick T. Sumaye na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe waligombea Uenyekiti wa Kanda zao za Mashariki na Kusini. Kule Kanda ya Mashariki, Mzee Sumaye akiwa mgombea pekee wa Uenyekiti, alipata kura nyingi za HAPANA na hivyo kushindwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Kanda ya Mashariki...
  17. M

    Cecil Mwambe ashindwa vibaya uchaguzi Kanda ya Kusini

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini Chadema Cecil Mwambe ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya kuangushwa vibaya na mpinzani wake Suleiman Mathew. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Salum Baruhan ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Lindi mjini kupitia CUF...
  18. J

    Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

    Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu. Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale...
  19. J

    Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini. Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda. Source...
  20. J

    Mbowe sasa kupumua, Cecil Mwambe amwagiwa sifa na Rais Magufuli mkutanoni na kukaribishwa CCM

    Mbowe sasa ana nafasi kubwa ya kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA baada ya mshindani wake Mh Mwambe kutamaniwa na CCM. Leo kwa mara ya pili Rais Magufuli amesema CCM ilifanya makosa kumuengua Mwambe na matokeo yake wananchi wa Masasi wamekosa maendeleo. Rais Magufuli...
Back
Top Bottom