Search results

  1. escrow one

    PAROKO: Tusikae kimya sasa kusubiri Miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari.

    Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
  2. escrow one

    Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost. Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
  3. escrow one

    Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

    Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka. Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
  4. escrow one

    Adui wa mwanamke ni mwanamke? Je, Mama Samia na Dkt Tulia watabariki kudhalilishwa kwa wanawake wenzao 19?

    Pamoja na vita kali ya Urusi na Ukraine lakini dunia nzima ipo kimya kushuhudia ni kwa namna gani wanawake wawili wenye nguvu zaidi hapa TZ watawalinda wenzao 19 waliodhalilishwa wiki hii mbele ya umati wa wajumbe zaidi ya 400. Kama Ndugai na Mwendazake (wanaume) waliweza kuwalinda, nyie...
  5. escrow one

    Fomu za kugombea uongozi ndani ya CCM Zadoda, wengi wasubiria kuwa viongozi wa Umoja Party

    Inaelezwa kwamba fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa CCM zimedoda na wengi wamegoma kuzichukua jambo linaloonesha kuchokwa kwa Chama Chakavu na Mwenyekiti wake. Asilimia kubwa ya Viongozi wa chama hicho waliopo sasa wameonesha kutoridhishwa na yanayoendelea hivi sasa hapa...
  6. escrow one

    Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

    Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge? Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki...
  7. escrow one

    Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

    Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa. Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali...
  8. escrow one

    Takwimu hazidanganyi; ukimpanga Diarra golini ujue tayari umeshafungwa goli 1

    Kwa mujibu wa takwimu zinazotolewa na wachambuzi mbalimbali hapa nchini zinaonesha Mdaka Mishale huyu hajawahi kuonja utamu wa clean sheet tangu atue jangwani. Ni sawa na kusema uwepo wa Diarra golini unafanya aliyebet OVER 0.5 kuweka dau la Milioni moja huku anachekelea. Hivyo kwa haraka...
  9. escrow one

    Kenya: FKF Yaajiri kocha mpya wa timu ya Taifa kwa mkataba wa miezi miwili

    Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) limemuajiri ndg Engin Firat kama Kocha Mkuu wa timu ya Taifa hilo kwa mkataba wa miezi miwili. kuajiriwa kwa Firat mwenye asili ya Ujerumani na Uturuki ni kufuatia kufutwa kwa kandarasi ya kocha Jackob 'Ghost' Mulee.
  10. escrow one

    CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

    Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini. Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
  11. escrow one

    REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

    Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake. Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya. Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa...
  12. escrow one

    KARMA: Tulishangilia wakati wengine wanalazimishwa kulipa kodi za dhuluma, sasa yameturudia inabidi tushangilie

    Kwa miaka takribani sita iliyopita matajiri hawakupumua nchi hii, kodi za dhuluma ziliwaelemea. Kesi za uhujumu uchumi ziliwazunguka, akaunti zao zilifungwa na wengine ilibidi wahame nchi. "Wanyonge" walishangilia kwa vifijo, miluzi na tarumbeta. Hawakujua nao yangekuja kuwatokea. Hivi sasa...
  13. escrow one

    Baada ya kuwamaliza wapinzani, sasa ni rasmi wasomi wanachelewesha maendeleo

    Wabunge Livingstone Lusinde "Kibajaji" na Joseph Kasheku " Msukuma" wamelithibitishia bunge na wananchi wa Tanzania kwamba wasomi wa nchi hii ndio wanaoongoza kwa kuchelewesha maendeleo nchini. Kutokana na mkwamo huo sasa wamependekeza serikali ianze kuwatumia "WASOMI WA DARASA LA SABA" ambao...
  14. escrow one

    Mlioshangilia wakati Hayati Dkt. Magufuli anawaponda Marais waliopita, msichukie yeye akipondwa

    Magufuli alianza kwa staili ya aina yake, ya kipekee. Pamoja na kuwemo ndani ya Baraza la mawaziri kwa takribani miaka 20 lakini alijitenga na Serikali zilizopita. Aliwafanya waliomtangulia waonekane wezi na dhaifu, walioshindwa kuchukua hatua kwenye masuala mbalimbali ya kitaifa...
  15. escrow one

    Wapiga kura hatutishwi na hoja ya kunyimwa maendeleo, tutamchagua Lissu.

    Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu. Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu. Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi...
  16. escrow one

    Hawa akina Hamis a.k.a HK wana tatizo gani na Mwamedi?

    Alianza mzee mzima Hamis Kilomoni a.k.a HK akamsumbua Mwamedi mpaka akatamani kukimbia mji 😄😄😄 Juzi tena Hamis Kigwangalla a.k.a HK nae kalianzisha had Mwamedi akatamani kujitoa kuifadhili Simba, Hapa angalau aliokolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha mboga mboga maana HK alikua ametawala sana...
  17. escrow one

    Thomas Tuchel kocha mpya PSG

    Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa imemtangaza kocha Thomas Tuchel raia wa Ujerumani kuchukua mikoba ya Mhispania Unai Emery hii leo. Kocha huyo wa zamani wa Borrussia Dortmund na Mainz za Ujerumani anategemewa kuanza kazi mara moja baada ya kombe la dunia. Kwa maoni yako unadhani PSG wamepatia au...
  18. escrow one

    Wachezaji wenye majina magumu zaidi

    Majina haya yanawapa shida mashabiki, makocha, waandishi wa habari na wachambuzi mbalimbali 1. Sokratis Papastathopoulos (Greece/Dortmund) 2. Jakub Błaszczykowski: Poland (Wolfsburg) 3. Grzegorz Krychowiak: Poland (PSG/WBA) 4. Wojciech Szczęsny: Poland (Juventus) 5. Yevhen Olehovych...
  19. escrow one

    Waziri Mwakyembe aiagiza BMT ya Tenga kuzuia ubinafsishaji wa klabu za wanachama

    WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe ameutaka uongozi mpya wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhakikisha vyama na klabu hawabinafsishi vyama na klabu wanazoziongoza na hivyo kuwavunja mioyo wanachama wao. Waziri Mwakyembe ameyasema hayo leo wakati wa...
  20. escrow one

    Orodha ya Makocha walioharibu CV zao

    Ifuatayo ni orodha ya makocha ambao walipewa jukumu la kuzinoa timu kutokana na umahiri wao ktk soka lkn wakashindwa kufikia yale mafanikio yaliyotarajiwa na wengi 1. DAVID MOYES (Man U) Pamoja na umahiri wake akiwa Everton FC lakin viatu vya Sir. Alex Ferguson vilikua vikubwa sana kwake pale...
Back
Top Bottom