REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

escrow one

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,472
2,867
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.

Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.

Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa bei ya jumla na Tshs. 35,000/= kwa bei ya rejareja.

Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi.
 
Jezi tamu aisee jezi mafta mafta

Screenshot_20210825-160108_Instagram.jpg
 
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.

Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.

Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa bei ya jumla na Tshs. 35,000/= kwa bei ya rejareja.

Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi.
35000 na bado wananchi wanazinunua kama peremende!! Huku niliko, jezi za msimu uliopita za mbumbumbu fc zinauzwa buku tatu tatu tu!! Na bado hazinunuliki!!

Sijui tatizo ni nini!!!
 
mlitufundisha wenyewe kwamba tajiri hanuniwi hahah
Lk sio kuleta mamluki kama haji,, kadi yake simba bado anayo mjue,, mfano leo hii kweli tajiri anuniwi mo amlete maulid kitenge pale simba si tutamnunia siku hiyo hiyo japo tajiri anuniwi, na kitenge ni mtangazaji tu hajawahi kuajiriwa na yanga official, ije kuwa kwa manara simba kindaki ndaki
 
Back
Top Bottom