spika ndugai

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Z

  Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

  Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani. Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
 2. chagu wa malunde

  Spika Ndugai, hamkuona uvuvi wa bahari kuu unaweza kulipatia taifa mapato kuliko kuwakakamua wananchi?

  Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu. Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
 3. Sandali Ali

  Spika Ndugai ndio chanzo cha uozo katika Serikali hii

  Habari! Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote. Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
 4. Big Eagle

  Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

  Binafsi huwa simuelewi
 5. Nigrastratatract

  Spika adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

  SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
 6. Q

  Spika Ndugai: Mkiniona naharibu alaumiwe Makinda

  Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma, jana jioni Juni 10, 2021, wakati akimkaribisha Bungeni, na kuongeza kuwa Mama Makinda, amekuwa ni mwalimu wake kwa kipindi kirefu tangu alipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza. "Mama Makinda amekaa humu Bungeni takribani miaka 40 hii rekodi siyo rahisi na yeye...
 7. Idugunde

  Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

  Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
 8. K

  Spika Ndugai, kila tangazo lina umuhimu kwa jamii?

  Ikiwa Viongozi Wakuu na baadhi ya waheshimiwa wakiugua hakuna taarifa yoyote ya Spika kutolewa kwa wananchi. Je, kuna sheria gani au ulazima gani wakutambulishana ME/KE wa mheshimiwa Fulani. Mheshimiwa akifa taarifa na kuahirisha vikao. Akiwa anaumwa siri ya familia huku mkijua nikiongozi wa...
 9. VUTA-NKUVUTE

  Spika Ndugai umejianika na kujiumbua, wewe si mtetezi wa Wabunge wanawake. Filamu yako ya akina Mdee umeshindwa kuilinda

  Mbunge wa Momba, tena wa chama chetu cha CCM, amedhalilishwa Bungeni. Ametolewa nje ya Bunge kwa aibu kuu akiambiwa kuwa 'hajavaa vizuri'. Amri ya kutolewa nje kwa mwanamama huyo Mbunge wa Momba ilitolewa nawe Spika Job Ndugai. Ni baada ya kuombwa muongozo na Mbunge Ameir akidai kuwa mwanamama...
 10. Miss Zomboko

  Spika Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio kuwa malori ya Dangote yanaharibu barabara ya Mtwara

  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio ambavyo havina msingi kuwa malori ya kampuni ya Dangote yanaharibu barabara za mikoa ya Lindi na Mtwara. Amesema kinachotokea ni barabara hizo kujengwa chini ya kiwango, kwani ni jambo linalofahamika kwamba malori hayo...
 11. J

  Yawezekana Spika Ndugai aliwaapisha akina Halima Mdee bila kujua anachokifanya. Ukiri wake kuwa walipitisha Sheria mbovu ni ushahidi

  Kama Spika Ndugai anakiri kuwa bunge zima lilipitisha sheria mbovu/ mbaya ya mifugo kutaifishwa ikiingia hifadhini basi huenda bunge limeshafanya madudu mengi sana. Ndugai anadai huenda wabunge walikuwa wamelala usingizi wakati wa kupitisha sheria hiyo inaonyesha jinsi bungeni pasivyo na...
 12. K

  Ni muda muafaka wa Spika Ndugai kuachia ngazi kwa hiari kwa kushindwa kulisimamia Bunge

  Hodi wanajamvi, Ambaye hajachoshwa na Ndugai anyoshe mkono ama afanye kama anajikuna tu ili tumuone hapa. Sipika wetu Ni Kati ya watu wasioweza kusimama Kwenye msimamo mmoja. Kipindi cha Hayati JPM kuhusu bandari ya Bagamoyo, alikaa kimya lakini Leo ndio mpiga Debe wa hiyo Bandari...
 13. Iruru

  Spika Ndugai kuangalia mtu katoka wapi kama kigezo cha ajira ni la kutafakarisha

  Nimemsikiliza Ndugai akilalamika juu ya ajira zilizotangazwa na hasa akijikita kwenye ajira za ualimu. Malalamiko yake yako kwenye kamati yake ya bunge kwamba hawafuatilii hizi ajira na namna zinavyopatikana. Hili la ufuatiliaji wa kamati ya bunge ni sawa kabisa. Ila alienda mbali zaidi na...
 14. K

  Spika Ndugai aache kupotosha umma kwamba ajira zinatolewa kwa upendeleo wa kikabila na kikanda

  Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amepotosha umma mchana kweupe kudai ajira za ualimu zilizopita zilitolewa kwa misingi ya kikanda na ukabila kwa sababu ukiachilia mbali jina moja lililojirudia kila ukurasa, mchakato wa ajira zilizopita ulifanyika kwa haki...
 15. J

  Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

  Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali. Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
 16. R

  Ubunge wa kubebwa ndiyo chanzo cha Spika Ndugai kuwaelekeza Wabunge?

  Ukisikia Bunge halina mvuto ni Bunge hili lililosheni wabunge wengi wa CCM, wabunge wa upinzani kiduchu Sana, wabunge hewa kama wanavyojulikana covid-19. Mvuto umekosekana hata kama Bunge ni live Wananchi hawafuatilii mijadala Bunge kama ilivyokuwa enzi Samwel Sitta au Anna Makinda. Wabunge...
 17. Z

  Spika Ndugai: Ajira ziwe zinazingatia usawa wa Kijografia

  Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaani kimikoa, na hata Kidini. Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja...
 18. J

  Spika Ndugai: Kama bunge halitaibana na kuihoji serikali nani atafanya jukumu hilo?

  Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka. Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye? Chanzo: ITV habari
 19. beth

  Spika Ndugai: Kamati za Bunge zisikae tu bila kufuatilia mambo

  Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezitaka Kamati za Bunge hususani zile za Sekta kufanya kazi zinazohusika nazo akisema zisikae tu pasipo kufuatilia mambo. Ametolea mfano suala la Ajira za Walimu ambapo amehoji, "Wangapi mnajua Wapiga Kura wenu wangapi wamepata? Mnaweza kuwa na uhakika...
 20. J

  Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

  Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu. Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote. Source: Channel ten
Top Bottom