Kenya: FKF Yaajiri kocha mpya wa timu ya Taifa kwa mkataba wa miezi miwili

escrow one

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,472
2,867
Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) limemuajiri ndg Engin Firat kama Kocha Mkuu wa timu ya Taifa hilo kwa mkataba wa miezi miwili.

kuajiriwa kwa Firat mwenye asili ya Ujerumani na Uturuki ni kufuatia kufutwa kwa kandarasi ya kocha Jackob 'Ghost' Mulee.
 
Ila angalau hao miezi miwili,bongo kuna mkataba wa Visit nini ilee,,,!huo mkataba siku mbili tu umeisha.
Bumbuli alisema watavaa visit kilimanjaro kwenye ngao ya jamii,majamaa wanajua kuingia ila hata ku paste wanakosea ,Simba ilipoingia makundi ndo wakazindua jezi ,wao hata hatua za awali hawajapita washazindua.

Ndo ujue GSM Yuko kwa ajili ya hela za jezi matokeo Yanga watajua wenyewe
 
Wamemuiba Senzo lakini wanashindwa kumtumia yule mwamba,yani ni wakukurupuka tu.
 
Back
Top Bottom