Search results

  1. Mudawote

    Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

    Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na...
  2. Mudawote

    Salim Kikeke hivi Sweta lako huwa husikiii Joto?

    GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt...
  3. Mudawote

    Waziri wa mambo ya Nje Danmark alisaini mkataba akiwa kalewa wa kuipa Norway utajiri

    Hækkerup is most widely known for the agreement he reached with the Norwegian Minister Jens Evensenthat gave Norway the oil-rich Ekofiskoil field in the North Sea. According to an urban legend, Hækkerup was drunk when he signed the agreement.
  4. Mudawote

    Balozi Humphrey Polepole ateuliwe Waziri wa Habari

    Great thinkers kama tunavyofahamu tukio la msiba mkubwa wa taifa wa Mh. Membe bado kama taifa tunaomboleza. Ninashauri Rais Dkt Samia akitaka mambo yake ya 2025 yaende amteue Mh. Balozi Polepole kwa nafasi wa Waziri wa Habari. Werevu na hekima ya Polepole ni muhimu ktk kipindi hiki ambapo...
  5. Mudawote

    Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    GTs, Kama tulivyoona kijana wa Waziri Simba Simbachawene alivyoingia kituoni halafu kuna askari akamchokoza kwa tusi. Je, hiyo ni sahihi? Je, ni kweli alitukana na alipokuwa nje, na je ndiyo njia sahihi ya askari kufanya kazi? Je, haki za kijana wa Simbachawene zilifuatwa, au alitishiwa na hao...
  6. Mudawote

    Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    GTs, Nina maoni: Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu. Sababu: 1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha. 2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili 3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na...
  7. Mudawote

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kusanya mapato kupitia malori yenye Uchanja

    GTs, Serikali kupitia wizara ya uchukuzi iweke amri Malori yote yenye uchanja yawekewe vyuma vya kuzuia makontena kuanguka kutoka kwenye uchanja wake. Tena hii kitu inaweza fanyika kupitia Temesa, fanya kila gari ikawekewa kingo 8@250,000 mara Malori yaliyopo mfano milioni mbili mapato jumla...
  8. Mudawote

    Acheni kumfuatilia Polepole ni mwanaharakati siyo mwanasiasa

    Great thinkers, Tangu kufariki kwa Dkt Magufuli, na hatimaye Mh. Polepole kumaliza kipindi chake cha ukatibu mwenezi, yaani unaona kabisa Polepole alivyopwaya kama mwana siasa. Polepole ili aishi lazima awe mwanaharakati, yaani yeye akipiga maneno ndiyo kula yake hiyo, yaani hana tofauti na...
  9. Mudawote

    Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

    GTs, Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu. Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu. Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu. Kila anayebeza pale ambapo...
  10. Mudawote

    Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

    Gts, Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba. Wizara ya afya toeni ufafanuzi. Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa...
  11. Mudawote

    Wapinzani tulieni Sindano iingie vizuri

    Wapinzani wameishiwa kabisa, mtulie sindano iingie vizuri
  12. Mudawote

    Tuwatambue wachumi waliodhihaki hatua za serikali tangu 2015

    GTs, Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii nchi ina hali mbaya sana. Wafuatao ni wachumi waliobeza: 1. Professor Ngowi: Alibeza uchumi kwenye...
  13. Mudawote

    Kenya KANU ndiyo ipo madarakani, Upinzani Afrika bado sana

    Great thinkers, Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”. Kwa hilo somo...
  14. Mudawote

    Mikakati ya kudidimiza uchumi wa Chato

    GTs, Nakuja kwenu na hisia. Usalama barabarani barabara ya Kwenda Bukoba kupitia Chato kwa muda sasa imekua na maafisa usalama barabarani wenye nia ovu ya kuhakikisha mabasi yaendayo Bukoba kupitia Chato hayapiti ili kudidimiza uchumi wa Chato. Kuna kipindi mabasi yote yalipita Chato...
  15. Mudawote

    Raha tuliyonayo wana CCM kuelekea 2020

    Great Thinkers, Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu: 1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015 2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
  16. Mudawote

    NMB, rushwa ya Mikopo itakomeshwa lini?

    NMB ni benki inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako. Yaani ni benki ya ovyo kabisa.
  17. Mudawote

    Wapinzani mtuchambulie uongo wote kabla ya uchaguzi

    GTs, Kuelekea 2020 sisi wapiga kura wa taifa huru la Tanzania tunawahimiza wapinzani mjitokeze mmoja baada ya mwingine mtuombe msamaha mambo yote mliyowahi kutudanganya. Moja ya vitu mlivyowahi kusema: 1. JK ni dhaifu? 2. Wizi wa 1.5 trioni? 3. Hela za Uswiss? 4.
  18. Mudawote

    Mh. Mbowe kuomba msamaha kwa Watanzania

    Great Thinkers, Nawaza waza, kwa jinsi vikundi vya wapinzani walivyoshindwa kuiyumbisha Tanzania chini ya Jemedari mahiri na makini, mcha Mungu Dkt Magufuli ninaona kabisa Mh. Mbowe akipiga goti kuomba msamaha kwa watanzania na kwa taasisi ya Rais. Je, akipiga goti na kutubu nyie mashabiki...
  19. Mudawote

    COVID19 ya kwenye Social Media inatisha zaidi

    Great Thinkers, Kama kawaida, tulio na bundle za mitandao tunajikuta tuna information nyingi zaidi za COVID19, na zinatisha. Ila wasiokuwa na access na social media wala hawana habari wanaendelea na maisha kama vile ni ugonjwa wa kawaida. Kuanzia kesho siingii tena social media kwa siku 21...
  20. Mudawote

    Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

    Great Thinkers, ujumbe unaofuata unaonesha jinsi wizara ya afya ilivyojipanga kukabiliana na COVID19, kikao alichofanya na chama cha Madakitari (chini ya rais wao Dr Osati) kinatoa matumaini mapya kwa watanzania. Mrejesho wa kikao cha wanataaluma na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
Back
Top Bottom