Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,038
12,494
GTs,

Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu.

Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu.

Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu.

Kila anayebeza pale ambapo rais wetu anaonesha unyenyekevu kwa Mungu, basi huyo ni mfuasi wa shetani na anatumika na shetani na inapaswa kumuombea.

Shetani anakiri (pamoja na hao wanao shangilia vifo vya sasa) kuwa ni kweli Mungu alituepusha na korona ya kwanza na Maombi yalifanya kazi!

Korona ya pili imekuja kutuonesha kuwa Mungu hakika huponya taifa iwapo mfalme atajinyenyekesha mbele zake.

Hata sasa Mungu anaenda kuliepusha taifa letu na kutuponya kabisa huu ugonjwa na kamwe hautokaa kusumbua tena.

Tuungane kwa maombi ya kumuombea rais wetu pamoja na viongozi na kuliombea taifa letu liponywe kabisa maana ushindi ni wetu.
 
6.jpg
 
Duh kwahio huyu Mungu anakisirani yaani ukisahau tu kumyenyekea anaamua kuwaua (alafu kama kifo ni adhabu kwanini wema wanakufa ?)

Kwahio usipopiga magoti anakuua (kitu ambacho unasema ni adhabu), na hata ukipiga magoti vilevile unakufa... (sasa hapo unaokoka vipi)....

Tufuati kanuni na facts hii mbona ni wazi..., usipofuata miongozo ya kiafya kama inavyokueleza hakika utakufa (tena kwa uzembe) ukifuata misingi na kujihadhari eventually utakufa ila either kwa uzee au kwa uzembe wa mwingine au ajali
 
Wakati mwingine ni busara kukaa kimya.
Mungu huyu hawaoni waja wake wa Jerusalem, Mecca,Madina, Vatican na Canterbury anawaona wa Chato tuu?
Afanalek
Shetani ushindwe kabisa, maana Maandiko yanasema tukijinyenyekesha kwa Mungu atasikia maombi yetu na kuiponya nchi yetu, hivyo hakuna cha eti madina etc
 
Duh kwahio huyu Mungu anakisirani yaani ukisahau tu kumyenyekea anaamua kuwaua (alafu kama kifo ni adhabu kwanini wema wanakufa ?)

Kwahio usipopiga magoti anakuua (kitu ambacho unasema ni adhabu), na hata ukipiga magoti vilevile unakufa... (sasa hapo unaokoka vipi)....

Tufuati kanuni na facts hii mbona ni wazi..., usipofuata miongozo ya kiafya kama inavyokueleza hakika utakufa (tena kwa uzembe) ukifuata misingi na kujihadhari eventually utakufa ila either kwa uzee au kwa uzembe wa mwingine au ajali
Huwezi kuelewa unahitaji ufunuo wa roho mtakatifu
 
wewe shetani na ni mjinga sana tena ni pimbi wa kiwango cha juu maana Mungu wetu alisema tulitoka mavumbini na tutarudi mavumbini, hivyo huyo shetani anayekutumia ashindwe ktk jina la Yesu kukiri mauti.
Pumbavu wewe usimuhusishe Mungu katika upumbavu wenu wa akili,Mungu alisema jisaidie na mim nitakusaidia ,endelezeni ushirikina wenu wa kupiga nyungu pumbafu majinuni
 
Pumbavu wewe usimuhusishe Mungu katika upumbavu wenu wa akili,Mungu alisema jisaidie na mim nitakusaidia ,endelezeni ushirikina wenu wa kupiga nyungu pumbafu majinuni
Wewe unatumika na shetani. Nina amrisha huyo shetani ashindwe kabisa, kiri ukuu wa Mungu
 
Back
Top Bottom