NMB, rushwa ya Mikopo itakomeshwa lini?

Wapi huko ulikodaiwa hiyo rushwa? Au ni kwa matawi yote nchi nzima? Umedaiwa rushwa ya shilingi ngapi? Fafanua walau kidogo maana wapo humu badala ya kuwashutumu tu kwa ujumla wake.
 
NMB ni bank inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako, yaani ni bank ya ovyo kabisa.
Hili linakaribia kama na kweli vile.mimi niliishaiacha hiyo bank kwa suala la mikopo.yaani unapunguza mkopo wako halifu mzigo wa marejesho unaachiwa mwenyewe.
 
Mimi nime process mkopo NMB Kyela Branch sijaombwa rushwa yoyote. Na mkopo nilipata kabla ya saa 48 kama nilivyo ambiwa
 
NMB ni benki ya hovyo Sana. Sio mikopo tu nenda kwa wale service providers ili uwe shortlisted hata kama huna kigezo toa tu milioni tano yaani rushwa ipo juu sana.

Anaebisha apeleke SIMU yake TAKUKURU uone miamala ya ajabu. Hiyo sio dili ni wizi
 
Mimi nime process mkopo NMB Kyela Branch sijaombwa rushwa yoyote. Na mkopo nilipata kabla ya saa 48 kama nilivyo ambiwa
Hiyo ni branch ya wanayojitambua. Branch nyingi ni rushwa mbelembele
 
NMB ni bank inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako, yaani ni bank ya ovyo kabisa.
Aisee . . . . nimekata tamaa maana nilikuwa na mpango wa kuliamsha NMB nikasake mkopo mkubwa ila kwa tuhuma hizi waje wajisafishe kwanza maana nitabadili mawazo haraka sana
 
Si unamuona bank manager basi. We afisa mikopo anakuzingua unaondoka ukilalamika?
 
NMB ni benki inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako.

Yaani ni benki ya ovyo kabisa.
KAMA NASHAWISHIKA HIVI! NDUNGU YANGU KAOMBA SALARIED WORKERS LOAN TAWI LA NMB BANK HOUSE DAR ES SALAAM WIKI MBILI ZINAKATIKA SASA, NA NI MFANYAKAZI WA SERIKALI. ALIAMBIWA AKIKAMILISHA TARATIBU ZOTE, NDANI YA SAA 24 MKOPO UNATOKA. MPAKA MUDA WA KUANDIKA HAPA HAJAPATA CHOCHOTE.
 
Back
Top Bottom