Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,158
12,773
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!
 
Wale wamewekwa ku stabilize mambo, chama kilikuwa kinaenda uelekeo usio sahihi
Hapana sasa ndiyo kinaelekea kubaya. Wananchi huko mitaani hawalewi CCM inafanya nini. Leo hii ukimuuliza mwananchi wa kawaida ajenda ya CCM ni nini? Ila akina CDE Makala wao eti mashule, hospital etc, je mkuu wa mkoa, wilaya na Mbunge aseme nini?
 
Mnajisumbua kumpigia debe huyo Muuaji Bashite. Makonda yupo Arusha kama mlango wa kutokea.

Team ya Nchimbi ipo sana hadi 2027. Usanii wa kupanda punda na mkokoteni uliisha na huyo Zerobrain. Wewe utaendelea tu kupata maumivu kama ni mpambe wa Nyamitako.
 
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania. Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM. Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa uenyekiti kabla ya 2025!
Sukuma gang mnashida sana. Tatizo lenu hamuwezagi ku survive kwenye mifumo inayotumia akili na maarifa kujiendesha. Mnaweza ujinga, roho mbaya, chuki , fitna na uuaji tu.

Kubalini tu sio zama za ujinga wenu hizi.
 
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania. Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM. Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa uenyekiti kabla ya 2025!
Wanazunguka kumponda makonda , jamaa ni viazi sana
 
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!
Wee Mucheppuko siasa za Mapanga kamfanyie huyo chepukolako

Mvutoo mvutooo wa mapanga?
 
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!
natabiri huu utakua ni miongini mwa Tabiri potofu zaidi kutabiriwa duniani :pedroP:
 
Hapana sasa ndiyo kinaelekea kubaya. Wananchi huko mitaani hawalewi CCM inafanya nini. Leo hii ukimuuliza mwananchi wa kawaida ajenda ya CCM ni nini?? Ila akina CDE Makala wao eti mashule, hospital etc, je mkuu wa mkoa, wilaya na Mbunge aseme nini???
Huyo makonda ndani ya miezi mitano alifanya nini cha maana

Yaani unataka kuniambia ndani ya miezi mitano makonda alimaliza kero za wananchi wakaanza kuielewa ccm
 
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!
Toka lini Makala akawa na ushawishi ni dizaini ya wale watu wapayukaji
 
Hapana sasa ndiyo kinaelekea kubaya. Wananchi huko mitaani hawalewi CCM inafanya nini. Leo hii ukimuuliza mwananchi wa kawaida ajenda ya CCM ni nini?? Ila akina CDE Makala wao eti mashule, hospital etc, je mkuu wa mkoa, wilaya na Mbunge aseme nini???
Kwa hiyo Makonda aliyekuwa anahimiza Wananchi kuidharau mahakama ndo alikuwa sahihi?
 
Back
Top Bottom