Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.
Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa...
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Great thinkers kama tunavyofahamu tukio la msiba mkubwa wa taifa wa Mh. Membe bado kama taifa tunaomboleza.
Ninashauri Rais Dkt Samia akitaka mambo yake ya 2025 yaende amteue Mh. Balozi Polepole kwa nafasi wa Waziri wa Habari. Werevu na hekima ya Polepole ni muhimu ktk kipindi hiki ambapo...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema.
Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23
Laini za simu
Aprili, 2021 - laini 52,965,816
Aprili, 2022 - Laini 55,365,239
Sawa na ongezeko la 4.5%
Watumiaji wa intaneti
Aprili, 2021 – Watu Milioni 29.1
Aprili, 2022 – Watu Milioni 29.9
Wawa na...
Akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Sheria ya Ulinzi wa Taarifa ni ya msingi katika Tanzania ya kidijitali, ili watu wajiamini na kuwa huru
Haki hii ya Faragha ipo kwa mujibu wa Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya...
Hii TCRA kwa watanzania hatuoni kazi yoyote ya maana inayotufanyia wananchi, imeshindwa kuhakikisha usajiri wa laini za simu unatimiza lengo lake. Mimi ni mmoja kati ya wengi tuliosajiri laini za simu na kupewa namba ya uthibitisho, cha ajabu unajikuta laini imefungwa kwa kukosa usajiri!
Zipo...
DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU
Asema Tuko Hapa Kuwatumikia Wananchi
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu kijaji ameitaka Menejimenti na watumishi wa Wizara yake itambue kuwa lengo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.