Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,572
- 16,047
Great Thinkers,
Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.