Search results

  1. Mwanamaji

    Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. Mwanamaji

    Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo. Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
  3. Mwanamaji

    NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  4. Mwanamaji

    Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  5. Mwanamaji

    Takwimu zinazungumzia watazamaji (Spectators) "akina sisi" tunazungumzia washabiki (fans), kuna shida mahala

    Takwimu zilizotolewa na bodi ya ligi hapo jana zilihusu idadi ya watazamaji (Spectators) waliohudhuria katika mechi za nyumbani za vilabu vya ligi kuu kwa msimu ulioisha. Takwimu hizo zimetokana na idadi ya tiketi zilizouzwa katika mechi hizo na timu ya Yanga imeongoza kupata pato kubwa...
  6. Mwanamaji

    Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  7. Mwanamaji

    Mama kasema tukosoe na tushauri suluhu: "Bure Bure" ya NIDA inatuchelewesha

    Kufuatia wito wa Mh. Rais kwamba vijana tutumie mitandao kukosoa lakini pia tupendekeze suluhisho la yale tunayoyakosoa, leo nina pendekezo juu ya suala zima la utoaji wa vitambulisho vya utaifa kupitia NIDA. Utangulizi; Ninafahamu hali ya kifedha ya baadhi ya watanzania wenzetu ni ngumu sana...
  8. Mwanamaji

    Ugawaji wa masafa ya redio: Ni kwanini kusiwe na ''frequency'' moja kwa kituo kimoja cha redio nchi nzima?

    Habari zenu wajumbe.... Kwa muda mrefu kidogo nimekua nikijiuliza hili swali. Ni kwanini kuna mkanganyiko katika ugawaji wa masafa ya vituo vya redio ? Nitaeleza kwa mifano ili hoja yangu ieleweke vema kwa namna hali ilivyo sasa hivi. Kituo chetu cha redio (cha mfano) tutakiita ''Tikiti maji...
  9. Mwanamaji

    RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

    Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club. Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbra Gonzalez.
  10. Mwanamaji

    Adhabu ya FIFA kwa Simba na Kichuya: Namuona Kichuya kwenye mechi ya Azam dhidi ya Namungo. Adhabu ile ilifutwa ?

    Kutokana na sakata la usajili wenye utata wa mchezaji Shiza Kichuya kutoka Misri kwenda Simba, tumeambiwa hapa juzi tu kwamba Simba ilipigwa faini ya takriban milion miatatu na mchezaji tajwa kufungiwa miezi sita. Lakini namuona Shiza Kichuya kwenye mechi ya Namungo dhidi ya Azam hapa ameingia...
  11. Mwanamaji

    Elimu mazinigira: Hatua 9 za kupata cheti cha mazingira kutoka NEMC kwa ajili ya mradi wako

    Zifuatazo ni hatua 9 za kufuata ili kupata cheti cha tathmini ya athari za mazingira kwenye mradi wako;- 1. Usajili (Registration) Sajili mradi wako kwa kujaza fomu maalum ya maombi ya usajili kwenda baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC). Gharama yake ni 70,000/=.Kwa siku...
  12. Mwanamaji

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi: WanaJF tushiriki kutengeneza ilani, sera na vipaumbele. Nini maoni yako? Tupaze sauti, Tanzania ni yetu sote

    Tanzania ni nchi yetu sote kwa umoja wetu sisi kama watanzania, nchi hii itajengwa na kuendelezwa na watanzania wote bila kujali tofauti zetu. Linapokuja suala la kuijenga nchi, tofauti zetu za kisiasa, kidini, kiitikadi, kiuchumi n.k zinapaswa kuwekwa pembeni. Taifa hili linahitaji mchango wa...
  13. Mwanamaji

    Kwa wanafunzi wa vyuo, hii hapa fursa ya kujifunza na kujitengenezea fursa mbalimbali katika mashirika kimataifa.(YUNA TZ)

    Wanaitwa YUNA TZ jumuiya ya vijana wa umoja wa mataifa, wametoa nafasi za kujiunga na jumuiya hiyo kwa wanafunzi mbalimbali wa vyuo kwa mwaka 2019/20. Kwa ufupi tu hii ni kama ''UVCCM'' ya Umoja wa mataifa. Kwa kifupi tu, haya hapa chini ni baadhi ya majukumu na manufaa ya kuwamo katika...
  14. Mwanamaji

    WHO, FAO, UNICEF, UNEP, WFP, WWF, etc: Vijana wa kitanzania wanachangamkia ajira za mashirika ya kimataifa ? Ni nini wafanye kufaidi keki ya Dunia ?

    Mods: Mada hii nimeiweka jukwaa hili kwa sababu kuu mbili: 1. Ni hoja inayohitaji mjadala mpana toka kwa wadau mbalimbali (ambao kimsingi sitowapata jukwaa la ajira) 2. Hapa ni ''hadharani'' zaidi TUREJEE KWENYE MADA: Habari zenu wakuu.... Tatizo la ajira kwa vijana linazidi kubwa kwa kadri...
  15. Mwanamaji

    TANZANIA ni nini machoni pa CAF ? Uwakilishi vilabu na timu ya taifa. Suala la Zanzibar.

    Habari zenu wanajumuiya ya michezo JF.... Kwa muda sasa nimekua nikipata mkanganyiko juu ya 'nchi ya Tanzania' machoni pa CAF (Shirikisho la soka barani Afrika). NINA MASWALI MANNE: 1. Kama kweli Zanzibar si mwanachama wa CAF, bali Tanzania ndiye mwanachama, Je, ni kwanini Zanzibar ina nafasi...
  16. Mwanamaji

    Hizi hapa fursa 20 kwenye ufugaji

    Zifutazo ni BAADHI tu ya fursa ambazo zinapatikana katika sekta ya mifugo na mnyororo wake wa thamani. Jipimie inayoweza kukufaa zaidi na uifanyie kazi katika kujitanua kibiashara na kujiongezea kipato chako. Zipo zinazohitaji mtaji mkubwa,unazoweza kuanza hata kwa mtaji mdogo, zinazotaka...
  17. Mwanamaji

    FUGA NA MWAMINIFU HUYU: Mtaalam anatafuta m-bia katika ufugaji.

    Nina tafuta mtu yeyote mwenye mtaji-pesa ili tuunganishe nguvu katika ufugaji wa mifugo mbalimbali kibiashara. Mimi nina uzoefu, maarifa na utaalamu katika nyanja ya mifugo (nimesomea). Katika ubia huu, mimi nitachangia utaalamu na usimamizi wa mradi/miradi wakati mbia wangu yeye atachangia...
  18. Mwanamaji

    JKT kwa mujibu wa sheria kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 sasa ni rasmi mwezi Juni

    Muda wa kuripoti kwenye kambi uliyopangiwa ni kati ya tarehe 1 na 5 mwezi wa sita, mafunzo ni ya miezi mitatu. kila la heri. Majina yanapatikana hapa Majina ya Vijana JKT 2016 tafuta jina lako kwenye vikosi
  19. Mwanamaji

    Ni nini athari ya nidhamu mbovu katika cheti?

    Mimi ninasoma stashashada (diploma) ya mifugo katika chuo fulani mkoani Dodoma, mapema mwezi uliopita kulitokea mgomo hapa hali iliyopolekea kufungwa kwa chuo kwa kipindi cha wiki mbili, wakati wa kufungua kila mmoja wa wanachuo alitakiwa Kuja na barua ya mzazi ya Kuomba msamaha kwa kuchochea...
  20. Mwanamaji

    Wanaotaka kusoma Diploma na Certificate za mifugo

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA NA ASTASHAHADA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LIVESTOCK TRAINING AGENCY) KATIKA MWAKA WA MASOMO 2015/16...
Back
Top Bottom