shirika la ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    Shirika la ndege la taifa la Israel kusitisha safari za ndege kuelekea Afrika Kusini

    Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja. “Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri...
  2. chiembe

    Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  3. Heparin

    Mahakama ya China kuanza kusikiliza kesi dhidi ya Shirika la ndege la Malaysia kuhusu kupotea kwa ndege ya MH370

    Kwa takriban miaka 10, Jiang Hui amekuwa akitafuta majibu kwa nini ndege iliyokuwa imembeba mama yake mwenye umri wa miaka 70 iliyorudi kutoka likizoni nchini Malaysia ilitoweka bila kujulikana. Mamake Jiang, Jiang Cuiyun, alikuwa mmoja wa watu 239 waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia Airlines...
  4. R

    Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  5. Mr godwin

    SoC03 Maboresho shirika la ndege Tanzania ATCL

    MABORESHO SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) Shirika la ndege tanzania (ATCL) Ni shirika la kiserikali linalojihusisha na usafirishaji kwa wa mizigo na watu kwa njia ya anga lililopo chini ya mmiliki wa Ndege za serikali TGFA Toka shirika hili lifufuliwe chini ya uongozi wa hayati John...
  6. TODAYS

    Nafasi Moja ya Kazi Kwenye Shirika la Ndege ni kwa Mwenye Vigezo Hivi

    Me sina cha kuongezea maana nasoma na kurudia kusoma, huyu mtu anayetakiwa hapa ni wa namna gani!.
  7. peno hasegawa

    Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

    Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu. Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya. Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
  8. Teko Modise

    Kwanini hayati Magufuli hakupenda ushindani wa shirika la ndege la Fastjest dhidi ya ATCL?

    Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi. Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini. Akanunua ndege za kutisha lakini mpaka anafariki nauli hazishikiki. Kwanini hayati Magufuli...
  9. B

    Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

    Diamond launches own airline Video: courtesy of SimuliziNaSauti N.B Jambo la kufariji mtanzania kuanzisha shirika la ndege. Ni matumaini mamlaka husika zitaweka mazingira mazuri shirika hili liweze kufanya biashara, kutoa ajira na kulipa kodi . Pia wawekezaji wa kiTanzania wanaothubutu...
  10. MK254

    Shirika la ndege la Urusi latengwa na dunia, kutouziwa spare parts, na kuzuiwa kwenye anga za mataifa mengine

    Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea kuharibika, shirika la ndege la Urusi limeanza kutengwa na dunia. Kwenye huu ugomvi Putin alikurupuka...
  11. Sam Gidori

    Uganda Airways kuongeza Senene katika orodha ya vyakula ndani ya ndege baada ya video ya mchuuzi kusambaa mitandaoni

    Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
  12. Lord denning

    Ni Tanzania tena Kimataifa! Shirika la Ndege la Kimataifa la Uswisi lazindua safari zake kuja Tanzania

    Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana. Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
  13. Mwanamaji

    Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  14. msovero

    Je, serikali ilitudanganya kwamba shirika la ndege ATCL linajiendesha kwa hasara?

    Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu. Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana. Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
  15. Mpinzire

    David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

    Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100. ==== Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4 August 20, 2021 Mkurugenzi Mkuu wa...
Back
Top Bottom