JKT kwa mujibu wa sheria kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 sasa ni rasmi mwezi Juni

Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,904
4,512
Muda wa kuripoti kwenye kambi uliyopangiwa ni kati ya tarehe 1 na 5 mwezi wa sita, mafunzo ni ya miezi mitatu. kila la heri.

jkt.JPG
jkt2.JPG

Majina yanapatikana hapa Majina ya Vijana JKT 2016 tafuta jina lako kwenye vikosi
 
Attachments

  • MAJINA JKT.pdf
    829.1 KB · Views: 962
Wanajamvi naomba kuuliza. Je, ni kwel kuwa majina ya wahitim wa kidato cha Sita wanaoenda Mafunzoni yametoka.??
Pia mwenye kujua kuhusu mafunzo haya, maana kumekuwepo na mikanganyiko wengine wakidai Jeshi lipo, wengine mwaka huu Jeshi halipo...
Wanajamvi naomba kujuzwa....
 
Mwenye kujua kuhusu uwepo wa JKT kwa wahitimu wa kidato cha Sita 2016...kwa Mujib wa Sheriaaa
 
Wanajamvi naomba kuuliza. Je, ni kwel kuwa majina ya wahitim wa kidato cha Sita wanaoenda Mafunzoni yametoka.??
Pia mwenye kujua kuhusu mafunzo haya, maana kumekuwepo na mikanganyiko wengine wakidai Jeshi lipo, wengine mwaka huu Jeshi halipo...
Wanajamvi naomba kujuzwa....
Uwe unatembelea website yao kupata taarifa.
 
kama link inakupa shida nenda kagoogle jkt kisha ingia kwenye official jkt website itakua kati ya matokeo ya juu hapo
 
Back
Top Bottom