Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia.

Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi.
1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama)
2.Udukuzi wa kujinufaisha(kudukua kuiba data na kuzitumia vibaya)

Kuna habari nyingi ambazo hazithibitiswa kuwa kampuni ya Google, Facebook, Twitter na n.k hujipatia mabiliion ya pesa kwa kuuza data za watumiaji na kuiuza kwasababu za kiusalama.

Ni vipi unaweza kujilinda na wadukuzi.
1.Kunuua ulinzi kutoka kwenye makampuni ya ulinzi wa mifumo na vifaa mfano anti-virus.

2.Kutofungua ujumbe Tata za email na mitandao. Kwasababu muundo wa software upo katika maanshi. Ni rahisi kutumia ujumbe ambao ukaingiza virus kwenye simu au ukaruhusu bila kujua mdukuzia kupita IP address yako akafanya atakacho kwenye simu yako.

Kwasasa Kuna mtindo mpya wa wadukuzi kudukua camera za simu na kukufuatilia live kupitia camera za simu.

Utajuaje unadukuliwa camera zako? Muundo wa camera za software za wadukuzi hufanyakazi wakati umewasha data. Kama umewasha data na simu inakuwa ya moto sana yu mkini unadukuliwa.

Inatokea pia simu inakuwa nzito sana na kupelekea kuganda na uwezo wa simu wako ni mkubwa basi inaezaka Kuna activities zinaendelea bila kujua.
Ukikutana na haya matatizo kwenye simu Hamisha ma file na restore kila kitu kitaondoka.
Tunaendelea...
 
Hivi hakuna namba za kublock udukuaji?
Nahisi kudukuliwa.
 
Udukuliwe una nini wewe
Nunua simu mpya hio inachemka imejichokea
Hiki ndicho kilifanya jukwaa la Tech kufa. Zamani mtu alikuwa anapinga kwa hoja mpk unasema kweli watu wanaelimishana.
Nilijiunga na JF kwasababu ya jukwaa la tech. Watu waliojiunga kwasababu ya jukwaa la mapenzi na mahusiano wakahamia na huku.
Comment yako ni mfano hai unaosababisha jukwaa la Tech kupoteza wachangiaji
Hongera mkuu
 
Hiki ndicho kilifanya jukwaa la Tech kufa. Zamani mtu alikuwa anapinga kwa hoja mpk unasema kweli watu wanaelimishana.
Nilijiunga na JF kwasababu ya jukwaa la tech. Watu waliojiunga kwasababu ya jukwaa la mapenzi na mahusiano wakahamia na huku.
Comment yako ni mfano hai unaosababisha jukwaa la Tech kupoteza wachangiaji
Hongera mkuu
Usiwe serious sana kaka
 
Back
Top Bottom