Shirika la ndege la taifa la Israel kusitisha safari za ndege kuelekea Afrika Kusini

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja.

“Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri wa Israel wanaokwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo Johannesburg nchini Afrika Kusini,”El Al ilisema katika taarifa yake.

"Kwa kuzingatia hili, kuanzia mwishoni mwa Machi 2024, tutasimamisha shughuli kwenye njia ya Johannesburg-Tel Aviv."

Tangazo hilo linakuja muda mfupi kabla ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa uamuzi wa awali kuhusu iwapo itaiamuru Israel kusitisha operesheni zake za kijeshi huko Gaza.

Kesi hiyo katika mahakama ya ICJ ni sehemu ya kesi iliyoletwa na Afrika Kusini, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.

Israel inakanusha vikali shtaka hilo.

Afrika Kusini imekuwa muungaji mkono mkubwa wa Wapalestina katika mzozo unaoendelea, na kusababisha mvutano na Israel.

Chanzo: BBC
 
Israel isitishe operation Gaz ila Urusi iendelee huko Ukraine , dunia haiko sw
 
South Africa walikurupuka kushtaki Israeli. Waliongozwa na mihemuko na chuki badala ya ukweli. Mahakama ya The Hague imeona hakuna Genocide huko Gaza
Imeona hakuna mauaji ya kimbali wakati kwenye nakala ya hukumu ina itaka Israel ishitishe mauaji ya kimbali dhidi ya wapalestina?
Hivi nyinyi majitu mbona hamna akili?
 
South Africa walikurupuka kushtaki Israeli. Waliongozwa na mihemuko na chuki badala ya ukweli. Mahakama ya The Hague imeona hakuna Genocide huko Gaza
We lzm uandike utumbo hapa manake huna la maana la kusema.
Umeona Mahakama ya Hague imesema huu uharo ulioandika hapa?

Kwani ukikaa kimya utaugua?
Soma kilicho tamkwa na mahakama hapa.
Sio kuleta kwaya za kanisani hapa.

Israel isitishe operation Gaz ila Urusi iendelee huko Ukraine , dunia haiko sw
Hatutaki vita iishe mpk kafiri wa kiyahudi atokomee.
Muislamu yyt anapambania Akhera na kafiri anapambania Dunia.
Ndo maana Huwezi kuona Mpambanaji wa Hamas hata mmoja analia kwenye Camera km wale mashoga wa kiyahudi wanavyolia.
Mpk sasa wayahudi milion 5 wamekimbia Israel kuelekea Europe kwa kuogopa wavaa kobazi.

Let's get it on.
 
Hao ni wale walokole waliobebehswa vimistari viwili vitatu uwahurumie tu
Yuko mwingine kutoka Uganda ati anatetea wayahudi kwenye mahakama ya haki za binaadamu.

Ukimtaza Ana domo ka la bi MK254 lkn kalijaza lipstick hatari.
Ukumbi mzima kabaki peke yake.

Hawa walokole Hela ya chips tu wanakuuzia mpk miili yao .

Ogopa sana njaa na kukosa elimu.
It's a lethal combination
 
Hiyo kesi ilikuwa ni danganya toto, hiyo mahakama haina hata polisi au jeshi la kwenda kuzuia jeshi la Israel ili kushambulie Gaza, hapo tu imebaki vita ya uchumi kati ya South Africa na Israel tuone nani atashinda, pia lazima wazayuni waanze kudeal na viongozi wa South Africa, pia migodi ya South Africa imeshikwa na wayahudi.
 
Back
Top Bottom