Leo pambano ni kati ya Habiba, mshambuliaji hatari mwenye chenga za maudhi, dhidi ya Sele, ambaye leo anaonekana kulegeza ulinzi makusudi!
Dakika ya kwanza, Sele anaanza kwa pasi fupi fupi za Salamu Habiba anaipokea, anaituliza kifuani kwa tabasamu pana.
Anampiga chenga ya jicho moja, Sele...