Kwa hesabu za makadirio hata kama Mandonga kalipwa milioni 5 kwa pambano lake la ufunguzi bado kapunjwa mno, atafutiwe Meneja upesi

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
1673909614293.png

Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/

Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.

Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru, Kisumu, n.k iliwabidi wanunue tiketi za kuchekia pambano online.

Mgao wa mabondia wengine ukiwachanganya wote huenda hata haukufikia milioni 10 maana mchezo huu nchini Kenya hauna Mashabiki wengi

Ukiachana na Mandomga, Wapiganaji wengine watakuwa wamekula laki 3 hadi 8 na wenye afadhali wamelamba milioni 1.5 hasa wa pambano kuu ... Mchezo wa ngumi kwa Kenya bado ni mchanga mashabiki wachache hivyo malipo ni kiduchu

Kama Mandonga kalipwa milioni 5 kiukweli anasindikiza kitu anachopigania kifaidiwe na wengine, ni heri atafutiwe meneja
 
Tuache ulalamishi, tuheshimu mikataba. Yale yale ya Feisal! Unasaini mkataba kwa kuona hela ni nyingi. Unakuja kulipwa unaona ni chache!
Nani amekwambia hana meneja? Tuchukulie basi hana meneja, hivi unadhani huyo meneja angefanya kazi bure? Mandonga angelipwa 8M na 4M zingekuwa za meneja, yeye angebaki na 4M. Ridhika na unachopata mdam ulikubaliana nacho
 
Wabongo wanapenda sana kulalamika. Usikute Mandonga mwenyewe ameridhika tu na hicho kiwango alichopata. Ila wapambe sasa!!
 
Kuna bondia mmoja 2019 alilipwa sh. Elf 50 tu huku alusaini sh. Laki 2.
Hii Afrika kazi tunayo
 
View attachment 2484117

Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/

Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.

Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru, Kisumu, n.k iliwabidi wanunue tiketi za kuchekia pambano online.

Mgao wa mabondia wengine ukiwachanganya wote huenda hata haukufikia milioni 10 maana mchezo huu nchini Kenya hauna Mashabiki wengi

Ukiachana na Mandomga, Wapiganaji wengine watakuwa wamekula laki 3 hadi 8 na wenye afadhali wamelamba milioni 1.5 hasa wa pambano kuu ... Mchezo wa ngumi kwa Kenya bado ni mchanga mashabiki wachache hivyo malipo ni kiduchu

Kama Mandonga kalipwa milioni 5 kiukweli anasindikiza kitu anachopigania kifaidiwe na wengine, ni heri atafutiwe meneja

Walioingia 6000 kwa maelezo yako na wengine walinunua tiketi kuangalia online. Halafu unasema mchezo una mashabiki wachache!
 
View attachment 2484117

Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/

Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.

Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru, Kisumu, n.k iliwabidi wanunue tiketi za kuchekia pambano online.

Mgao wa mabondia wengine ukiwachanganya wote huenda hata haukufikia milioni 10 maana mchezo huu nchini Kenya hauna Mashabiki wengi

Ukiachana na Mandomga, Wapiganaji wengine watakuwa wamekula laki 3 hadi 8 na wenye afadhali wamelamba milioni 1.5 hasa wa pambano kuu ... Mchezo wa ngumi kwa Kenya bado ni mchanga mashabiki wachache hivyo malipo ni kiduchu

Kama Mandonga kalipwa milioni 5 kiukweli anasindikiza kitu anachopigania kifaidiwe na wengine, ni heri atafutiwe meneja
Tumssidie kwenye hilo
 
Biashara ni ubepari, ubepari unahitaji watu wenye maarifa ya kujadiliana thamani ya bidhaa iliyopo mezani, kama hauna maarifa hayo usilaumu ubepari jilaumu mwenyewe kwa kukosa maarifa.
 
Bado hajajua thamani yake..Kwa Kenya angeondoka hm kati ya mill 20 Hadi 100...Sasa kweli umecreate tension nzima ya Kenya na Tanzania kila mtu anataka aone pambano kweli unalipwa 5 mill? Seriously? Ananufaisha watu ...Na akiendelea ivi atatimika mwisho wa siku umaarufu unakwisha Hana kitu
 
Kwa sasa ameanza kupata offer ulaya za pesa kubwa unadhani wakenya watambeba kwa milioni 5 tena.Ameipromo ile timu ya Amateree, amepromo vyombo vingi vyahabari Kenya kwa hiyo Mandonga atavuna sana cha msingi aongeze mazoezi na nguvu pumzi hana.
 
Mwanzo mgumu! Hebu tuanzie kule alikopata kichapo cha mbwa koko, mpaka kuibukia Kenya!
Sina shaka, amesha kuwa mali. Haiwezekani pambano la awali liwe na msisimko kuliko pambano maalumu. Haiwezekani pambano la utangulizi liwe la mwisho!
Ila kwa sasa tusimpe tamaa, akawa kama FEI TOTO, ili aanze kunung'unika kwa alichopewa, kwa mujibu wa makubaliano yao!
 
Back
Top Bottom