Je, umewahi kujiuliza kama kuna kiongozi yeyote wa nchi za NATO anaonyesha ubabe mbele ya Trump? wanafikiri haiwezekani, lakini ukweli ni kwamba yupo ni Mark Carney, Waziri Mkuu wa Canada.
Baada ya Justin Trudeau kujiuzulu mwaka 2025, Wacanada walimchagua Mark Carney kutokana na uzoefu wake...