jamii forum

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania, according to AllAfrica. The website emphasizes its use of user-generated content to avoid penalties faced by traditional media for reporting issues in Tanzania. According to Washington Post, recent Tanzanian bills have caused significant worry over potential media crackdown in Tanzania, though its founders faced several law charges over the years.

JamiiForums was officially launched in March 2006 with the name JamboForums, and comprised several online subforums. In May 2008 they changed their name to JamiiForums due to copyright issues. In March 2016, Jamii Media filed a lawsuit against the federal Tanzanian police force, alleging that the police force's power to demand personal information of individuals suspected of crimes was unconstitutional. The case will be processed through the High Court of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama Alazwe mahala...
  2. min -me

    JamiiForums Tanzania JF sio mtandao wa vilaza, kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?

    Jf sio mtandao wa vilaza ,kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ? Jf sio mtandao wa kulea maskini wa akili na kipato ,ndio maana jf ili uwe platinum lazima ulipie pesa🤣 Nalewa nipo bia ya 13.
  3. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Mambo vipi Wana-JF Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Miembeni, mtaa wa Msituni, Moshi hatuna gari la taka na hivyo taka zinazagaa

    Wananchi wa Miembeni, Mtaa wa Msituni, tunakabiliwa na changamoto ya kutopatikana kwa huduma ya ukusanyaji taka katika eneo letu. Hali hii imepelekea baadhi ya wananchi kutupa taka ovyo, ikiwemo nyakati za usiku, barabarani na hata mashambani. Utaratibu huo unahatarisha afya za wananchi na...
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kifo cha anko wangu, member wa JamiiForums, kiliniacha na maswali na mitazamo migumu

    Niliwahi leta taarifa hapa kuhusu kifo cha anko wangu mzenji, alikua member wa jamii forum. Maswali ambayo Hadi Leo NAJIULIZA na sipati jibu ni haya. Umri wa anko ULIKUA mkubwa sana, lakini sikuwahi Iona familia yake, japo nilikua napafahamu na kwenda kwake. Tangu nimemfahamu anko nilikua...
  6. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania JF ina pisi Kali, kuna niliowaona Kwa macho yangu, sijawahi kutana na Mzee

    Nimeona Kuna mijadala humu kuhusu jamii forum kuwa na warembo, binafsi Mimi nilisha wahi pata bahati ya kuwaona na nikawachunguza na wakanijua japo sikutaja I'd yangu nawao hawakunitajia I'd zao sijui kwanini. 1. Haka ni katoto, siwezi ita mdada katoto tuliKua tunafanya kazi sehem Moja, kalikua...
  7. Lech Poznan

    JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums inawezekana kuipata namba ya simu bila ya mhusika kutoa?

    Husika kichwa cha habari hajuu nataka kujua je inaweza kupata namba ya simu ya Mchangiaji yoyote humu bila yeye kukupa? Kwasababu humu kuna watu aina mbalimbali wanafatilia Coment za kuisema Serikali, kuna namba inanipigia simu bahati mbaya nakua sipo karibu na simu na niki jaribu kuipgia...
  8. mager6

    JamiiForums Tanzania Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

    Kazi ni kipimo cha utu. Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza nikiingia kusoma naanzaanzaje, twende kwa mifano 2026 FIFA World Cup - Special Thread Ukiingia humu...
  9. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kris Jenner, mama yake mzazi na Kim Kardashian, huwezi amini ni bibi wa 1955, lakini mtoto Yuko soft

    Anaitwa Kris Jenner, mama mzazi wa Kim Kardashian. Huenda usiamini kuwa alizaliwa mwaka 1955, bado anaonekana nadhifu sana. Mtoto yuko soft kweli, kuvunja biskuti hawezi! 😅 Anavutia kwa namna yake, hadi unaweza kuanza kuwalinganisha na mastaa wengine. Natani tu wakuu! 🤣
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimerudi jamii forum

    Habari wakuu baada ya kupotea kwa muda nimerudi na account nyingine jamii forum.
  11. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

    Je jina unalotumia JamiiForums limetokana na nini? Why uliamua kujiita hivyo? Binafsi jina nalotumia ni taaluma yangu na kwa sababu naipenda Tanzania likaunga na uzalendo.....
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa JamiiForums kuleta feature mpya kuzuia Utapeli

    ecg Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk. Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko...
  13. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Serikali yajizatiti kubidhaisha Kiswahili Kimataifa

    Serikali imewahimiza wataalamu wa lugha ya Kiswahili kutumia kikamilifu fursa zinazotokana na ukuaji wa lugha ya Kiswahili duniani, ikiwa ni pamoja na tafsiri, ukalimani, uandishi wa vitabu na utangazaji kwa Kiswahili, katika jitihada za kuibadilisha lugha hiyo kuwa rasilimali ya kiuchumi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere kitaturejeshea lini pesa zetu za refund zilizozidi kwenye malipo ya ada baada ya kupata mkopo kutoka HESLB?

    Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere Kampasi ya kivukoni, kigamboni haturejeshewi pesa zetu (refund) za ada zilizidi baada ya kupata mkopo kutoka HESLB na hatujui lini tutarejeshewa. Baadhi ya wanafunzi wamemaliza chuo bila kufanikiwa kupata pesa zao lakini pia wanafunzi wengine kwa sasa...
  17. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

    JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake. Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake Kuweni makini sana.
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  19. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande ukitaka kupata taarifa thabiti za tume yako, tumia JAMII FORUMS, hakuna atakayetuma taarifa kwa identity yake kesho atekwe

    Kwa nia njema mmetoa tangazo la wananchi kutuma ushahidi wa yaliyotokea 29 October, 2025. Hakuna atakayethunutu kuwatumia taarifa yoyote kwa kuogopa identity yake kujulikana na baada ya hapo wamteke na wamuue. Kuepusha woga huo, fungua page hapa JF mtapata kila kitu mnachokihitaji na kazi...
Back
Top Bottom