Aliyempiga mwakinyo ashangazwa na usanii wake: anthony crolla asema wiki yote ali behave kiajabu ajabu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Kumbuka ukiwa una insult inteligence ya watu kwa kujiona we mjanja kuna wajanja zaidi yako , utaooongea yooote lakini hii issue wazee wa kazi waseme waingilie kati wafatilie hata bettings za nchi mbalimbali kuna aibu nyuma yake
sasa hata bondia aliyekupiga kabaki na butwaa..he

Liam Smith left frustrated as he beats Hassan Mwakinyo in bizarre stoppage finish​

Liam Smith is victorious in his home city of Liverpool but it's not the finish he wanted; Hasson Mwakinyo bout ends in confusion and controversy after four rounds

What they say…

Anthony Crolla on the bizarre finish to Smith's win...

Anthony crolla ni bondia bingwa zamani wa dunia alikuwa na haya ya kusema

"I think it's been strange behaviour from Hassan all week, he got in the country very late, he wasn't at the presser, I was looking at him in the corner and his body language just seemed very odd. The frustrating thing is, I've got to agree with Liam - I do believe he quit, but the frustrating thing is he's a talented fighter. He was landing some shots of his own. I do believe Liam was going to warm into it and Liam was going to break him up and stop him.

"And maybe that was it. He landed a few very good shots… It was just a strange ending."

mchambuzi wa sky news boxing Johnny Nelson anakuambia jamaa ali dive..wote ni kama vile tu wanashindwa kusema direct kwamba aliuza mechi

dived.JPG
 
Kwamba ni ndumba sio!?

Acheni Imani hizi
kauza mechi, ndumba tena?kaangalie vizuri zile clips, halafu huyo Crolla kaelezea vizuri sana jinsi jamaa alivyokuwa ana behave siku kadhaa kabla ya pambano, wote hao na wachambuzi wa sky boxing wanashindwa tu kusema direct kwamba jamaa kauza
Kama angekuwa hajauza yule mzungu round ya 4 asingefika, mwakinyo alishammudu kabisa
 
maneno yetu kina nani? hadi nime wa quote wahusika hapo juu unasema maneno yetu? hela kapata tena nyingi ukichanganya na ya kuuza mechi ila sasa kaua reputation yake hapo UK hatachukuliwa tena serious , awekeze vizuri hiyo hela yake
Kaharibu sana nyuma ya pazia yaani lile pambano halafu kaanza kuleta shobo na wazungu
Screenshot_20220904-092015.png
 
Kama ni kuuza labda kauza kwa huyo smith lakini kwenye kampuni za ubetishaji Smith alikuwa na point ndogo mno ya ushindi kwa juzi niliangalia ilikuwa 1.09
 
anadai kuna re match sidhani hata kama sky boxing watahangaika naye tena labda alilete Tanzania kwenye ukumbi wa disco pale masaki
Kuna akili mbili zipo hapa naweza changia

Moja mzungu angepigwa angestaafu mazima ila mwakinyo angepata mileage kubwa sana na kukosa re match.

Pili jamaa anawezekana anataka pesa ya marudiano apoteze apigane mara ya pili apige pesa ,kwa maoni huyu sio bondia ya kumpa shughuli sana mwakinyo hatakuwa na wasiwasi sana kupigana nae tena coz kwake ni WA kwaida sana
 
Kama ni kuuza labda kauza kwa huyo smith lakini kwenye kampuni za ubetishaji Smith alikuwa na point ndogo mno ya ushindi kwa juzi niliangalia ilikuwa 1.09
kuna scenario mbili hiyo uliyosema au hata gangs za bettings za asia kule mtu anaweza weka hata dollar milion 5 akasema jamaa anaanguka round ya nne TKO sasa watu wanakuja na mkwanja mrefu utimize lengo lao

Kuna hiyo sasa ya kupoteza kwa Liam , unajua Liam waingereza hawamchukulii serious kabisa tangu 2016 kurudi chini alipokuwa kwenye peak hajawahi rudi kabisa juu

Kwa sasa anahangaika kupata nafasi ya kupigana na Chris Eubank jr kupigania mkanda wa dunia lakini JR anamdharau sasa njia nyingine ilikuwa kupigana na mwakinyo na mapambano mengine mawili apate hiyo tiketi na mwakinyo kwa UK alishajijengea jina kubwa ambalo unfortunately jana kaliharibu yeye mwenyewe

so inawezekana kauza kwa huyo smith ila wote wawili jana wameonekana kituko na sidhani kama Eubanks jr atakubali kupigana na Smith
 
Kuna akili mbili zipo hapa naweza changia

Moja mzungu angepigwa angestaafu mazima ila mwakinyo angepata mileage kubwa sana na kukosa re match.

Pili jamaa anawezekana anataka pesa ya marudiano apoteze apigane mara ya pili apige pesa ,kwa maoni huyu sio bondia ya kumpa shughuli sana mwakinyo hatakuwa na wasiwasi sana kupigana nae tena coz kwake ni WA kwaida sana
hela yenyewe aliyopewa kupigana ni pounds 56,000 na akapata main card ambayo kwa nje ya nchi sidhani kama atakuja kuipata tena,labda hiyo ya kuuza itakuwa imempatia hata pounds 100,000 au 200,000
 
Ila Mimi kilichonistua zaidi ni kuona wale ma second wa Mwakinyo kwakweli sikuamini kwa ukubwa wa bondia mwakinyo awe na ma second wakuokoteza vile nilihisi tu mapema kuna mchezo unataka ufanyike hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hela yenyewe aliyopewa kupigana ni pounds 56,000 na akapata main card ambayo kwa nje ya nchi sidhani kama atakuja kuipata tena,labda hiyo ya kuuza itakuwa imempatia hata pounds 100,000 au 200,000
Kazingua ndo ubaya wa umaskini angepiga zaidi ya hapo
 
Ila Mimi kilichonistua zaidi ni kuona wale ma second wa Mwakinyo kwakweli sikuamini kwa ukubwa wa bondia mwakinyo awe na ma second wakuokoteza vile nilihisi tu mapema kuna mchezo unataka ufanyike hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
KAKA YAKE YULE anayemsaidiaga na ana act kama kocha hakusafiri naye , just imagine, ndiyo maana crolla anakuambia siku kabla ya pambano ali notice kwamba mwakinyo ana behave kiajabuajabu hata press conference hakutokea alitokea kupima uzito tu
 
Back
Top Bottom