Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.
Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.
Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.
Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya...
Wakuu nauliza hawa LATRA alieanzisha aliiweka kwa niaba ya nani? Wafanya biashara wa magari au kwaniaba ya wananchi?
Mimi nina uhakika ipo kwaajili ya wafanya biashara wala si wananchi, kwasababu; mafuta yakipanda tu wafanyabiashara wanapiga kelele nauli ipande nao (LATRA) wanapandisha nauli...
Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme.
Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia.
Kiwe single au chumba na sebule bado kinafaa njoo na offer yako hapa hapa madalali kaeni...
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari
Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea
Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu...
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
.
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya...
UTANGULIZI:
Bila kugusia maudhuni yalivyoandikwa, au kukosoa kilichoandikwa, nimeandaa sababu 10 tata za kisheria ambazo zinatambainisha kwa nini mkataba wa uuzaji wa Bandari ya Tanganyika ni batili na ni wa aibu kwa nchi ambayo inawasomi wengi wa sheria;
Katika sheria za kimataifa za...
Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na hisia za waliowatuma Bungeni, instead wabunge wataamua wanavyojua au kuambiwa wao.
Swali ni je, Si...
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi...
Mama Janeth Magufuli ametunukiwa tuzo DRC, tuzo ambayo hutolewa kwa wake wa viongozi wakuu na watu maarufu duniani.
Tuzo hiyo ijulikanayo kama M. T. Kasalu aliyotunukiwa ni katika kutambua mchango wake kwa Taifa la Tanzania.
Tuzo ya M.T. Kasalu hutolewa na taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu...
Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.
Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.
"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"
Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?
Eti kumbe...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa.
Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi!
Gambo amesema hata ofisini kwake...
Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha.
Lakini pia taarifa...
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi...
Hii nchi wajinga ni wengi mno na hawataisha, yaani mtu hawezi hata ku-reason. Kweli kama kilimo kinalipa kuna mtu kweli atanyanyua mdomo kusema njooni tuwalimie kwa niaba yenu?
Au kama ufugaji wa kuku unalipa kuna atakayehangaika na watu au atataka sokoni awe peke yake na apige pesa?
Sijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.