Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,681
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.

Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
 
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.

JPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.

USSR
 
Kwani mkuu ilihitaji PhD kujua hilo na alipata nguvu zaidi baada ya kufanikiwa mchomoa (gaidi) mboe kwenye kiti cha ubunge
 
8DE2FCFA-B971-4DFB-8BD2-C3631E5F1E6F.jpeg

Kanuni namba moja ya watu wenye wivu

Miaka miwili baadae, bado tu wanajaribu.

Wazungu wanamsemo ‘learn when to quit’.

Huyo mtu aliewahi kuishi Tanzania, mazuri yake ayawezi funikwa hasa kipindi hiki ambacho watanzania waliohai na akili zao timamu baada ya kuuona uongozi wake.

Busara ni kufanya yenu, mkubalike au mchukiwe kwa matunda ya kazi.

Magufuli kila siku inatosha, huo uongo watanzania walio wengi wameukataa.
 
View attachment 2577791

Mmhhh ni dhalimu yule yule ndio unamkingia kifua?
 
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.

Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Dadadeki....umeangukia pua!!! Aibu yenu jamaa mliyemsagia kunguni kaachiwa huru. Kenge
 
Mmhhh ni dhalimu yule yule ndio unamkingia kifua?
‘Chema chajiuza, kibaya chajitembeza’

Uongo kwa Magufuli ata urudiwe vipi, watanzania wameukataa. Wanamjua vyema nyakati za uhai wake alikuwa anasimamia nini kwa maslahi mapana ya watanzania wote.

Magufuli ni brand inayojiuza yenyewe kwa sasa, baada ya miaka miwili ni muda wa kukubali matokeo watanzania awanunui hizo hadithi za udhalimu.
 
JPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.

USSR
Aisee!!!...
 
Hivi wanaomshangilia sabaya nakumwona shujaa ni ccm hao hao wamfunga na kumwachia wao naye amekiri kufanya makosa sasa ushujaa uko wapi kwa sabaya na bado ana kifungo cha nje ushujaa uko wapi hukumu yake hajamtaja kuwa Hana hatia mnafananisha ni mbowe wapi na wapi
 
Back
Top Bottom