Chawa wapandisha site fake kwa niaba ya CHADEMA

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,227
35,151
Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.

Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.

"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"

Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?

Eti kumbe huu nao ni ujanja wao. Hivi wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright: www.chadema.org

Chadema ni haki yenu kufuatilia kuishusha chini hii site.

Haipo shaka kuwa ni yenye kumilikiwa na chawa uchwara hawa hawa.
 
Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.

Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.

"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"

Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?

Eti kumbe huu nao ni ujanja wao. Hivi wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright:

CHADEMA - "www.chadema.org"

Isije kuwa tu wanataka kuendeleza hujuma zao kama kipindi kileeee🤔
 
Naona Chadema wenyewe wanatakiwa kutolea maelezo hiyo issue, naona chawa wametumia gap lililopo kutoka kwa wamiliki, na kama wamiliki wakiendelea kukaa kimya, basi tutegemee chawa wakitawala zaidi.
Wanasema vita ni vita mura. Chawa wamedhamiria kupambana hata kinyume cha utaratibu.

Ninakazia:

Alerts za beberu na KLM zisipuuzwe. Wahuni si watu wazuri.
 
..Chawa wanatakiwa wawe na maarifa.

..Uchawa wa namna hii ni vurugu na ujinga na unamharibia Mama Samia kuliko Chadema.

..Ccm wanatakiwa wajibu HOJA, waeleze kwanini tuna hali ngumu ya uchumi, sio kufanya vioja kama hivi.

Ukiona hivyo ujue wamezidiwa. Hawana hoja. Watampata nani wapi kumhalilishia ugumu wa maisha ambao kwao pia ni mwiba?

Hapa sasa Chadema si pa kuwalegezea bali kurusha makombora yenye uzito zaidi.
 
Chawa wamechachawa la kufanya halijulikani.

Mwenye chawa kawaasa kiutu uzima kujikita kwenye kujibu kwa hoja wala si matusi.

"Mezani kuna ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, kodi, tozo na uwajibikaji. Mzizi mkuu ukiwa katiba"

Majibu ya hoja wakayapate wapi sasa huku nao ni wahanga tu?

Eti kumbe huu nao ni ujanja wao. Hivi wamepandisha site hii kinyume ya sheria zote za copyright:

CHADEMA - "www.chadema.org"

Chadema ni haki yenu kufuatilia kuishusha chini hii site.

Haipo shaka kuwa ni yenye kumilikiwa na chawa uchwara hawa hawa.
TCRA ichukue hatua isiache na wala isiuvumilie huu uhuni
 
Wamepaniki
 
Chawa wako kidigitali zaidi. Waliedit hadi picha za Ikulu Mbowe alipokwenda wakaweka jagi la asali. Ukifanya wewe ujinga huu wanakudaka.
 
TCRA ichukue hatua isiache na wala isiuvumilie huu uhuni

TCRA wana block sites wasizotaka zionekane nchini. Kulikoni site ya wahuni hawa kuendelea kuonekana? Mara ngapi imebidi kupata huduma pendwa ya VPN hata kufika www.Twitter.com TCRA walipoelekezwa kuipiga munda?

Hawa hapa si ni wahalifu wa kimtandao tu kama wale wa nitumie kwa namba hii?

Waziri mwenye dhamana naye Yuko kimya labda kama lingekuwa shambulizi kwa chama au serikali yao?

Endeleeni kulea uhalifu.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom