kondomu

  1. Mjanja M1

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI yashauri kuongeza nguvu ya kupambana na UKIMWI kwa kutoa elimu katika maeneo mbalimbali nchini

    Hii vita dhidi ya maambukizi ya Virus vya ukimwi inaenda kuwa next level sasa! Unahisi ni jambo sahihi sehemu za kazi kuwekewa Mipira ya Kondomu? === Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri serikali kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya UKIMWI katika...
  2. Rayvanny wa jamiiForums

    Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo

    Yani Mdada wa watu kakualika ukale futari alafu wewe unabeba kondomu na mkongo.
  3. Mjanja M1

    Kumbe kutembea na Kondomu ndio kuwa kijana wa kisasa?

    Hii post ya East Africa Radio imenishangaza sana, UZINZI UNAENEZWA KWA KILA NJIA SIKU HIZI.
  4. Miss Zomboko

    Siku ya Kondomu Duniani - Februari 13

    Siku ya Kondomu Duniani, au World Condom Day kwa lugha ya Kiingereza, huadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Februari. Siku hii ilianzishwa na Shirika la Kimataifa la Uzazi wa Mpango (International Planned Parenthood Federation) na mashirika mengine ya afya ya kimataifa ili kuongeza ufahamu kuhusu...
  5. K

    Wizara ya Afya angalieni namna ya kuboresha kondomu zenye nembo ya (ZANA)

    Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana. Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
  6. F

    Naomba ufafanuzi wa hili baada ya Kondomu kupasuka

    Wakuu nimepata shida nilikuwa na manzi fulani tuna sex ghafla kondomu ikapasuka na kichwa chote kikatoka nje yule manzi akanishtua nikapoteza stimu hapo hapo na hali yake ya kiafya siifahamu maana tumekutana tu kitaani. Sasa nipo na mawazo chungu nzima hata kwenda kupima naogopa...naombeni...
  7. carnage21

    Tetesi: Wanaume wengi hatupendi kutumia kondomu

    Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea. "Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke...
  8. Dasizo

    Hii imekaaje kuna usawa hapo?

    Mwanaume akitembea na condom kwenye wallet anajikinga, mwanamke akitembea Nazo mnamuita Malaya kwanini?
  9. BARD AI

    Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  10. BARD AI

    Kondomu milioni 111.9 zilisambazwa nchini mwaka 2022

    Ikiwa ni hatua ya kuendelea kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amesema Serikali imesambaza kondomu milioni 111.934 nchini katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2022. Hayo ameyabainisha juzi Januari 13, 2023 kwenye kikao cha ndani...
  11. BARD AI

    Kipimo cha UKIMWI kinavyotumika kama mbadala wa Kondomu

    Hofu ya uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa miaka ijayo inazidi kutanda mitaani kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya vipimo vya haraka (HIV Rapid test) vya kubaini maambukizi hayo kwa kupima damu. Uchunguzi uliofanywa kwa zaidi ya wiki mbili katika maeneo...
  12. J

    Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa. Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi! Gambo amesema hata ofisini kwake...
  13. BARD AI

    Ufaransa kugawa Kondomu bure kwa Watoto na Vijana

    Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto. Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima kwenye Maduka yote ya Dawa kuanzia Januari 1, 2023 na ikumbukwe pia Ufaransa ni moja ya nchi...
  14. BARD AI

    Wafanyabiashara wadai Ushuru umechangia Kondomu kuadimika Kenya

    Wafanyabiashara wameilalamikia Serikali kwa kuweka Kodi kubwa kwenye uingizaji wa bidha hiyo hali inayosababisha uhaba mkubwa nchini kote Kenya inahitaji Kondomu Milioni 455 kila mwaka wakati Serikali ikinunua na kusambaza Kondomu Milioni 150 pekee, pia imeripotiwa kwa miaka 2 iliyopita...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Mtu unatoaje huduma ya gesti bila kondomu?

    Unapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu? Hii sio sawa
  16. M

    Kondomu niliyotumia inavuja, kichwa kinawaka moto

    Habari wakubwa, Nimekuja kwenu nipate ushauri, maana kichwa kinawaka moto. Mimi ni mtumiaji wa kondomu miaka 6 sasa sijapiga dry. Jana nilikuwa nasex na bidada nikiwa na kondomu zangu 3 mpyaa (DUME). Mwanzo mpaka mwisho kondomu ilikuwa uumeni mpaka nakojoa, (nilitumia kondomu 3 ya mwisho...
  17. Diversity

    UZUSHI Kondomu za BULL zinapasuka sana

    Kumekuwa na malalamiko ya watu kadhaa kwamba Kondomu za Kampuni ya Bull Zinapasuka sana. Baadhi ya wadau wanaona Kondomu hizo si salama ni laini sana kiasi kwamba hupasuka kirahisi wakati wa tendo la kujamiiana. Ukweli upoje?
  18. Tulimumu

    Kondomu za bure kwenye ofisi za umma zinachochea ngono

    Ukitembelea ofisi nyingi za umma ukaingia vyooni utakuta box la kondom za bure limewekwa ukutani kwaajili ya wanaohitaji kuzitumia kufanya ngono kama ambavyo unaweza kukuta katika mabaa na nyumba za kulala wageni. Sasa unaweza kujiuliza kwamba hivi humu maofisini watu pamoja na kazi wanafanya...
  19. Miss Zomboko

    Kenya yakabiliwa na uhaba wa Kondomu

    Vituo kadhaa vya afya vya umma, hoteli na mikahawa nchini Kenya vinakabiliwa na uhaba wa kondomu kutokana na mvutano wa ushuru kati ya wafadhili na serikali ya Kenya, Gazeti la Daily Nation linaripoti. Mpango ambao hutoa kondomu za bure, sehemu muhimu ya kampeni ya Kenya ya kukabiliana na...
Back
Top Bottom