Wakili Madeleka: Rais Samia alitoa mamlaka mkataba wa bandari kusainiwa kwa niaba ya Dubai wakati yeye ni Rais wa Tanzania pekee

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,625
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

Screenshot 2023-07-12 121459.png
 
Huyu mama anasaini kila kitu kilichopo mbele yake bila kusoma.

Kuna siku atasaini kuuza mkoa wa Dodoma.
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.
Tuwekee hiyo sehemu ya huo mkataba eneo ulikotoa hii statement niende nikapate wine baridi
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

View attachment 2685670
Mbona sielewi kitu AWA MAWAKILI WANATUONA WAJINGA SANA
 
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

View attachment 2685670
Rais wetu anapigania maslahi ya Dubai. Wazalendo wanatishiwa kuuwawa Dr Slaa, Mwabubusi,
 
Msimseme Sana
Kumbukeni ni mke wa mtu pia anaweza akawa alisaini akiwaza ugomvi uliopo namumewe

Akopoteza umakini
 
Ndo umeandika nn sasa
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom