Mchango wa mbunge mpina bungeni, ahoji usiri mkubwa katika mikataba ambayo serikali inaingia kwa niaba ya wananchi

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
390
385
Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha.

Lakini pia taarifa za PPRA, CAG na PCCB zimekuwa zikionyesha wizi na ufisadi mkubwa katika utekelezaji wa baadhi ya mikataba. Mheshimiwa Spika, Usiri uliowekwa kwenye mikataba iliyoingiwa na Serikali kwa niaba ya wananchi umewekwa kwa ajili ya kumlinda nani? Na hii ni kinyume cha Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Spika, Ipo mifano mingi lakini naomba nitoe mfano wa Mkataba wa mradi wa ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere, zimekuwa zikitolewa taarifa za ucheleweshaji wa mradi huu na kumekuwepo na taarifa za 8 kuongezewa muda wa mkataba kwa mkandarasi kwa miaka miwili zaidi, badala ya mradi kukamilika Juni 14, 2022 sasa utakamilika mwaka 2024, suala hili ni la kisheria na kimkataba, usiri unaowekwa na Serikali katika mradi huu unazua maswali mengi sana ya kujiuliza:-

  • Ni lini Serikali ilifanya tathmini ya kina kuhusu utekelezaji wa mradi huu na Bunge limeshirikishwa kwa kiwango gani kuhusu tathmini hiyo?
  • (ii) Ni nani amesababisha ucheleweshaji wa mradi na hatua gani zimechukuliwa dhidi yake?
  • Mradi unaongezewa muda wa utekelezaji kwa gharama za nani na hayo majadiliano yamefanywa lini na yamefanywa na nani?
Mheshimiwa Spika, Kwa mujibu wa mkataba uliopo baina ya TANESCO na Kampuni ya Arab Contractors vigezo na masharti viliyowekwa ni pamoja na mkandarasi akisababisha ucheleweshaji wa mradi kwa muda wa mwaka mmoja atalazimika kulipa faini ya 10% ya thamani ya mradi.

Mheshimiwa Spika, Mkandarasi anapaswa kulipa CSR ya 4% ya thamani ya mradi na kwa mantiki hiyo, pamoja na mambo mengine Watanzania walitarajia kuelezwa bayana yafuatayo:-

  • Haki yao ya kisheria na kimkataba kufuatia ucheleweshaji huo, Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors ya Misri amechelewesha mradi kwa miaka miwili, kimyume cha mkataba na kwamba anahusika na faini ya 10% na hivyo kwa ucheleweshaji wa miaka 9 miwili anapaswa kulipa faini ya Tsh. Trilioni 1.3. Kwa nini hili suala halizungumzwi na haliwekwi wazi kwa watanzania? Mheshimiwa Spika, Kamati za Bunge zilishaeleza katika vikao vya kamati na ndani ya Bunge lako Tukufu kuwa sababu kubwa za ucheleweshaji ni za mkandarasi mwenyewe na ushahidi wa ‘hansard’ za Bunge upo.

  • Pia tunafahamu kwa mujibu wa Mkataba, Mkandarasi anapaswa kulipa 4% ya Mkataba kama CSR ambayo ni jumla ya Tsh Bilioni 260, licha ya mkandarasi hadi sasa kulipwa 57% ya mkataba na kwamba amekuwa akilipwa kwa wakati lakini hajalipa hata senti moja ya CSR.
Mradi unaongezewa muda wa utekelezaji kwa gharama za nani na hayo majadiliano yamefanywa lini na yamefanywa na nani?

Mheshimiwa Spika, Leo tunaambiwa mkandarasi anaongezewa muda wa miaka miwili zaidi, lakini hakuna maelezo yoyote, mradi unaongezewa muda kwa gharama za nani, vigezo na masharti yaliyomo katika mkataba yameathiriwa vipi na ongezeko hili la muda (variations).

Mheshimiwa Spika, Usiri huu unaleta hofu na mashaka makubwa kuhusu kukamilika kwa mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere, kuna wasiwasi wa kupotea fedha za CSR jumla ya Tsh Bilioni 260, pia inaonekana mkandarasi anabebwa ili asilipe faini ya ucheleweshaji kiasi cha Tsh. Trilioni 1.3.
 
Mpina Bwana. Atuambie mkataka wa kununulia ndege uko wapi?
Mkataba uliozaa kampuni ya Twiga ya madini anao atuonyeshe?
CCM hawajawahi kuweka mikataba wazi na wala huo mpango hawana.
 
Mtachina na mtakoma tu.

Twende hivi hivi
 
Kwani hii habari ya usiri ni yaleo,waliopiga kelele na kupinga usiri huu wengine SI walimiminiwa mvua ya masasi,au ilikuwa bado kuzaliwa?
 
Kwanini hakuiliza hili swali alipokuwa waziri? Mnafiki tuu huyu boya.
Mama umewahi kuona waziri anauliza waziri mwenzake swali akiwa bungeni? Huyu ni Mbunge anauliza swali kwa Joana yetu tumemtuma sasa nani boya hapo?
 
Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha.

Lakini pia taarifa za PPRA, CAG na PCCB zimekuwa zikionyesha wizi na ufisadi mkubwa katika utekelezaji wa baadhi ya mikataba. Mheshimiwa Spika, Usiri uliowekwa kwenye mikataba iliyoingiwa na Serikali kwa niaba ya wananchi umewekwa kwa ajili ya kumlinda nani? Na hii ni kinyume cha Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Spika, Ipo mifano mingi lakini naomba nitoe mfano wa Mkataba wa mradi wa ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere, zimekuwa zikitolewa taarifa za ucheleweshaji wa mradi huu na kumekuwepo na taarifa za 8 kuongezewa muda wa mkataba kwa mkandarasi kwa miaka miwili zaidi, badala ya mradi kukamilika Juni 14, 2022 sasa utakamilika mwaka 2024, suala hili ni la kisheria na kimkataba, usiri unaowekwa na Serikali katika mradi huu unazua maswali mengi sana ya kujiuliza:-

  • Ni lini Serikali ilifanya tathmini ya kina kuhusu utekelezaji wa mradi huu na Bunge limeshirikishwa kwa kiwango gani kuhusu tathmini hiyo?
  • (ii) Ni nani amesababisha ucheleweshaji wa mradi na hatua gani zimechukuliwa dhidi yake?
  • Mradi unaongezewa muda wa utekelezaji kwa gharama za nani na hayo majadiliano yamefanywa lini na yamefanywa na nani?
Mheshimiwa Spika, Kwa mujibu wa mkataba uliopo baina ya TANESCO na Kampuni ya Arab Contractors vigezo na masharti viliyowekwa ni pamoja na mkandarasi akisababisha ucheleweshaji wa mradi kwa muda wa mwaka mmoja atalazimika kulipa faini ya 10% ya thamani ya mradi.

Mheshimiwa Spika, Mkandarasi anapaswa kulipa CSR ya 4% ya thamani ya mradi na kwa mantiki hiyo, pamoja na mambo mengine Watanzania walitarajia kuelezwa bayana yafuatayo:-

  • Haki yao ya kisheria na kimkataba kufuatia ucheleweshaji huo, Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors ya Misri amechelewesha mradi kwa miaka miwili, kimyume cha mkataba na kwamba anahusika na faini ya 10% na hivyo kwa ucheleweshaji wa miaka 9 miwili anapaswa kulipa faini ya Tsh. Trilioni 1.3. Kwa nini hili suala halizungumzwi na haliwekwi wazi kwa watanzania? Mheshimiwa Spika, Kamati za Bunge zilishaeleza katika vikao vya kamati na ndani ya Bunge lako Tukufu kuwa sababu kubwa za ucheleweshaji ni za mkandarasi mwenyewe na ushahidi wa ‘hansard’ za Bunge upo.

  • Pia tunafahamu kwa mujibu wa Mkataba, Mkandarasi anapaswa kulipa 4% ya Mkataba kama CSR ambayo ni jumla ya Tsh Bilioni 260, licha ya mkandarasi hadi sasa kulipwa 57% ya mkataba na kwamba amekuwa akilipwa kwa wakati lakini hajalipa hata senti moja ya CSR.
Mradi unaongezewa muda wa utekelezaji kwa gharama za nani na hayo majadiliano yamefanywa lini na yamefanywa na nani?

Mheshimiwa Spika, Leo tunaambiwa mkandarasi anaongezewa muda wa miaka miwili zaidi, lakini hakuna maelezo yoyote, mradi unaongezewa muda kwa gharama za nani, vigezo na masharti yaliyomo katika mkataba yameathiriwa vipi na ongezeko hili la muda (variations).

Mheshimiwa Spika, Usiri huu unaleta hofu na mashaka makubwa kuhusu kukamilika kwa mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere, kuna wasiwasi wa kupotea fedha za CSR jumla ya Tsh Bilioni 260, pia inaonekana mkandarasi anabebwa ili asilipe faini ya ucheleweshaji kiasi cha Tsh. Trilioni 1.3.
CCM NI WAKOLONI WEUSI
 
Hii ichi ya maajabu sana yaani ukiuliza swali la masrai ya inchi unapingwa,kwa hiyo kuna watu huwa wanafurahia tuwe tunapigwa kwa sababu ya ukada tu wa chama
 
Hoja ni kwa nini anahoji sasa wakati mikataba imekuwa siri siku zote na alikaa kimya siku zote watu walipokuwa wanadai mikataba iwekwe wazi
Wewe ni juha na mjinga mkubwa kbs,hoja iliyopo mezani ni hiyo?,lete hoja ya kwako na wewe,
 
Back
Top Bottom