Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
RC TELACK APEWA TUZO YA HESHIMA, UASISI WA LINDI MINING EXPO
MKuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amekabidhiwa tuzo ya heshima kama muasisi wa Maonesho ya Madini ambayo yalianza mwaka 2023 yakiwa na mafanikio makubwa . Tuzo hiyo imekabidhiwa Juni 14, 2025 na Mhe. Steven kuruswa Naib Waziri...
Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda...
Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba.
Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde Tukuyu Mkoani Mbeya na kupata elimu ya msingi katika Shule ya Mabonde na baadaye kupata elimu ya...
NXT Honors kutoka nchini Nigeria imemtangaza rasmi nguli wa muziki na Mfalme wa Bongo Flava Alikiba, kama mshindi wa Tuzo ya Heshima ya Maisha ya 2024, na kumfanya kuwa mtu wa kwanza asiye Mnigeria kupokea heshima hii kubwa.
AliKiba ametajwa kama msanii mwenye mafanikio akiwa na zaidi ya miongo...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini.
Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama Mzalendo, Mtetezi na Mpenda Nchi na Mlinzi wa Rasilimali za Taifa.
Mchuano ulikuwa mkali baina ya...
Mama Janeth Magufuli ametunukiwa tuzo DRC, tuzo ambayo hutolewa kwa wake wa viongozi wakuu na watu maarufu duniani.
Tuzo hiyo ijulikanayo kama M. T. Kasalu aliyotunukiwa ni katika kutambua mchango wake kwa Taifa la Tanzania.
Tuzo ya M.T. Kasalu hutolewa na taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.