Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana.

Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara.

Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba.

Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya kifisadi Sana.
 
View attachment 2919153

Mimi kinachoniuzi awa machadema kuwaongelea watu na wakati kuna matatizo chungu nzima kwenye system ya kuyakosoa watu wanapita tu tuzungumzie mambo ya kijamii au mambo yenye tija kwa wananchi wote au taifa kila siku mtu flan ovyo tu !!!?
 
Back
Top Bottom