wapangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Black belts

  Naomba ushauri: Mpangaji wangu msumbufu kulipa kodi nataka nifungie vitu vyake

  Wakuu habari: Unajua hizi nyumba za kupangisha zina matatizo sana, mtu umetumia pesa kibao kuwekeza, bado tena unakuja kupangisha majitu ambayo hayajielewi. Ni hivi, kuna mpangaji wangu now anakaribia miaka miwili kama na nusu kwenye mabanda yangu, sasa huyu tangu kipindi cha Corona ya kwanza...
 2. elvischirwa

  Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

  Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
 3. N

  Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

  Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
 4. De Professor

  Vimbwanga vya nyumba za kupanga, wapangaji na wenye nyumba

  Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale. Mara mwenye nyumba yupo hivi mwingine nae yupo vile Mara sehemu uliyohamia unakuta wapangaji wanatabia hii wengine...
 5. THE LOST

  Kukata kodi ya jengo kwenye LUKU, watakaokuwa walipaji wakuu ni wapangaji na si wamiliki tena

  Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki. Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni...
 6. sky soldier

  Elimu ya kitaa: Je, unajua kwanini wapangaji wengi hawapendi kuishi nyumba moja na mmiliki?

  Maisha ni safari, nimetoka mbali, leo nmekumbuka maisha nliyopitia ya kuishi vyumba vya kupanga. Kiukweli ni ndoto ya kila kijana kuanza kuishi maisha ya getoni iwe single room ama self-contained kabla hajajenga au kununua nyumba yake. Nikiwa kama mtu nliewahi kupitia maisha hayo, nlikumbana...
Top Bottom