Lake oil wanajuaje kupanda kwa bei ya mafuta kabla haijatangazwa?

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,788
14,871
Imekuwa ni kawaida kila inapokaribia wiki ambayo bei mpya ya mafuta hutangazwa, vituo pendwa vinavyomilikiwa na wanasiasa maarufu, hudai hawana mafuta kungojea bei mpya. Hii huwa ni dalili ya kupanda kwa bei ya mafuta.

Swali la kujiuliza wanajuaje mapema kuwa mafuta yatapanda bei? Huu mtandao wa mafisadi unaoendesha nchi ni hatari kwa ustawi wetu.
 
Back
Top Bottom