Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,391
9,665
Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
IMG-20220511-WA0057.jpg
 
Gari yako inakula lita ngapi?

Chukua hizo lita zidisha na 29. Hilo ndilo punguzo lako!

Karibu ulambe asali mkuu kama ukoo wa akina Makamba!
Kama una Toyota starlet, full tank ni lita 45, kwa hiyo utapata nafuu ya Shs1,305 lakini utalipia TSh 141,660. Yaani unasevu asilimia 0.731%

Tatizo la bei za mafuta ni la dunia nzima, ila serikali yetu imelihandle vibaya sana kiasi kuonekana kama viongozi wako arrogant, hawajali. majibu yaliyokuwa yakitolewa na waziri wa nishati na baadaye kurudiwa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania yalikuwa ya hovyo sana katika muda ambao raia wanategemea kufarijiwa.
 
Back
Top Bottom