Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaWanakuja
Huenda mafuta yamepanda tena hivyo ile bilioni 100 si kitu tena kulingana na yalivyopandaDaaa hatari, pesa mlima matokeo sisimizi
Mkuu we tulia Utibu pts,nasikia mna upiga mwingi sana hukoHuenda mafuta yamepanda tena hivyo ile bilioni 100 si kitu tena kulingana na yalivyopanda
Ndiyo imeongeza maumivuHabari JF,
Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100.
Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
View attachment 2282155View attachment 2282159
Hakuna haja kwa sababu Bei za mafuta zinaendelea kupanda kila kukicha..Habari JF,
Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100.
Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
View attachment 2282155View attachment 2282159
Very possibleHizo bilioni 100 lazima zitoke kila mwezi ili kupunguza makali ya tatizo, lakini kwa hali ya mambo inavyokwenda, hazina msaada wa maana kwasababu kama nauli za mabasi tayari zilishapanda, bei za vyakula/nafaka zimepanda na hazijawahi kushuka.
Hii bilioni 100 inawezekana kuna wajanja wanaitafuna taratibu, tatizo Rais wetu anasikiliza ushauri wa wafanyabiashara, au marafiki wa wafanyabiashara kwenye hili.
Kwa mfano hii bei iliyoanza leo ni ya mafuta yaliyoingizwa lini?Hakuna haja kwa sababu Bei za mafuta zinaendelea kupanda kila kukicha..
Serikali ikaongee na Nchi za mafuta moja kwa moja ili watuuzie Kwa bei nafuu.
Kqma si umbumbumbu basi ni upigaji umejaa serikalini. Hiyo ruzuku ya 100B kila mwezi haijakuwa na impact yoyoye kwa Watanzania, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, bidhaa hazishikiki. Bora pesa hiyo izuiwe kulipwa ili pesa ielekezwe ktk ujenzi wa miundombinu ya barabara na kwinginekoHabari JF,
Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100.
Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
View attachment 2282155View attachment 2282159
Vasco da Gama liko linatalii tu huku nchi inapigwa! Naunga mkono hoja, bora mafuta yapande tu hiyo hela iokolewe, ikafanye kazi nyingine. Kama ulivyopendekeza 100b ni karibia kilomita 100 za lami! Ikifika mahali hatuwezi kumudu bei ya mafuta tutapaki magari!Kqma si umbumbumbu basi ni upigaji umejaa serikalini. Hiyo ruzuku ya 100B kila mwezi haijakuwa na impact yoyoye kwa Watanzania, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, bidhaa hazishikiki. Bora pesa hiyo izuiwe kulipwa ili pesa ielekezwe ktk ujenzi wa miundombinu ya barabara na kwingineko
Waulize waliopanga Bei,mafuta hayanunuliwi kama unavyoenda dukani kununua biaKwa mfano hii bei iliyoanza leo ni ya mafuta yaliyoingizwa lini?
Kwenye soko la dunia mafuta yanashuku kwa mwezi june wote na bado yanaendelea kushuka, alafu ninyi hapa mnapandisha kisha mnakuja na ngonjera za bilion 100?View attachment 2282415