Tutatoa hela kwa muda gani kunusuru bei ya mafuta?

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Rais ametangaza kutoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mafuta, lakini hatujui vita vya Ukraine vitaisha lini hivyo ni ngumu kujua kwa muda gani tutaendelea kutoa hela au kuondoa tozo na kodi kwenye mafuta.

Moja ya misingi ya Marekani ni kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu. Nadhani na sisi tuwe hivyo kama nchi ina maslahi kwetu anakuwa rafiki yetu na kama hana maslahi ni adui tu. Kwa sasa bei za mafuta zinazidi kuwa juu huku bei ya mafuta huko Urusi ikiwa ya siku zote, ndipo inapokuja haja ya sisi kununua mafuta kutoka Urusi.

Hii itasaidia hata kwenye kutoa hela kuokoa bei za mafuta haitakuwa na haja kwa kuwa bei zitakuwa affordable. Mafuta yatakuwa na bei nafuu na hakutakuwa na haja ya kutoa fedha kama ruzuku au kuondoa kodi na tozo zilizopo.

Just think, kitu gani kinatuzuia kununua mafuta kutoka Urusi
 
Tayali zimeahatolewa bil 100 na juzi wamepunguza TSH 29 kwa kila Lita 1.
 
Uboya wetu tu mkuu,hakuna kitu kingine.
 
Back
Top Bottom