kituko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Yanga sc yaja na kituko cha mwaka yatengeneza mask ya mabox.

    Katika hali ya kushangaza kabla ya yanga sc imemtegenezea mchezaji wake mask huku wakitumia materials za mabox na sruu. Haki hii imewapelekea wadau mbalimbali wa michezo nchini kushikwa na butwaa.😁😁😁
  2. I

    Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

    Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe. Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa...
  3. Eli Cohen

    Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  4. 6 Pack

    Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

    Niaje waungwana, Hiki kisa, au tukio lilintokea miaka mingi kidogo. Enzi zile za kwenda kuangalia movie katika vibanda vya video. Sasa siku hiyo nilienda kuangalia video katika banda moja nililokuwa napenda kwenda kuangalia. Banda hilo lilikuwa maeneo ya Manzese Midizini kwa mama fulan jina...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kamati ya mashindano ya kombe la Mapinduzi inahujumu mashindano na kuyafanya yawe kituko mbele ya mataifa mengine yaliyo serious na kukuza soka

    Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika. Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
  6. sky soldier

    Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

    Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script. Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
  7. ankol

    Kituko gani kiliwahi kukukuta during sex?

    Habari za weekend wana JF? Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi. Nianze na changu. Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki. Kizaazaa. Acha nipagawe! Kupiga yowe nataka, kukimbia nataka. Acha...
  8. D

    FIFA waja na Kituko cha Karne

    Leo Messi ndani ya top 3 ya watakao gombania tunzo ya mchezaji bora wa mwaka 2023. tukumbuke Messi anacheza Ligi ya Mls inayokaribiana na ligi ya Bongo kiubora, wakati huo huo ndani ya hiyo ligi ya MLS Messi amefunga magoli mawili tu. Kwa kweli wameanza kufedheheka.
  9. J

    Nimeamini kweli Ligi yetu ni dhaifu, Club zetu zinatamba nyumbani ila nje ni aibu

    Club zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu , hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia wakisema Madrid hapa anapasuka, aje Man City hapa anakaa, lakini zikivuka mipaka tena hapa hapa ndani...
  10. W

    Ukiacha kusikia sauti za watu wengi zikikupigia kelele za mwizi huku zikikujia na hatimaye ukakimbia, kituko gani kingine bangi imewahi kukufanyia?

    Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
  11. sky soldier

    Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  12. Mpinzire

    Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

    Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA. Chuma hiki hapa kimeonekana kimetua Oman jana...
  13. M

    Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  14. sky soldier

    IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

    Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine Ni IT wachache mnooooo wameweza...
  15. Replica

    Kenya: Waislamu wadai ni dhihaka IGP kupiga marufuku maandamano yaliyoruhusiwa na Katiba

    Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi. MUHURI imemkumbusha IG...
  16. Wadiz

    Ushuhuda wangu sitasahau: Niliwacheka sana wanaochapiwa wakati huo huo na mimi kumbe nachapiwa sana kama ngoma

    Salaam tele ziwafikie Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na baadae nadhani akahamia Namungo FC. Nikiwa nimekaa kwa starehe na raha kabisa na kipenzi changu...
  17. Binadamu Mtakatifu

    Viumbe vingine vinaona binadamu ni kituko

    Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana. Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi. Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu...
  18. M

    Inabidi tukubali tu kuwa huu mwaka ni wa Arsenal, akiukosa ubingwa itakuwa ni kituko!

    Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja! Klabu zingine zisubiri mwakani!!
  19. Memtata

    Mbwa kala Mbwa (kituko)

    Hiki kituko kilinitokea miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa dingi tayari sema ujana ulikuwa mwingi sana hadi kujisahau🤣 lakini kwa sasa mimi ni ustaadh hizi zimebaki hadithi tu. Kuna sehemu nilikuwa na project kwenye kampuni moja hivi. Kila siku kabla ya kuingia lango kuu nilikuwa na utaratibu wa...
  20. Fundi Madirisha

    Wafamasia acheni kuwa kituko, simamieni taaluma

    Inashangaza kuona taaluma ambayo pengine ingetakiwa kua msaada kwa taifa letu lakini imegeuka kua ni kichaka cha vioja. Kuna mdau alikuja kulalamika humu siku moja ya kwamba Baraza la famasia na Chama cha wafamasia wamejikita kwenye kufungia maduka ya watu na kujiwekea ubinafsi wa wao pekee...
Back
Top Bottom