Search results

  1. I

    Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

    Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
  2. I

    Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

    Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
  3. I

    Russia could go to war with the USA any day now. What are your thoughts on this?

    Russia could go to war with the USA any day now. What are your thoughts on this? I truly hope not as the war wouldn’t be fought in US but in Europe. But there is something that our American allies don’t really understand. Russia can’t be changed overnight with war or with the threat of war...
  4. I

    Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

    Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi...
  5. I

    Vladimir Putin today declared that Russia will 'conduct a lightning strike' against countries supporting Ukraine with 'means and tools'

    Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned. The worst he can do, short of annihilating the world, is...
  6. I

    If President Biden flew to Ukraine and stood on the front lines, would that deter Russia from attacking?

    No that would not help. The enemy understands that brandon is not the one calling the shots. Furthermore, he is compromised by his involvement many different criminal enterprises that the Russians and the Chinese, and God only knows who else has complete control of him. Why else would he have...
  7. I

    Would Putin dare to drop a nuke on Ukraine?

    Vladimir Putin would find it difficult to justify such an action against a brother country. This is how he describes Ukraine. Putin is already having trouble justifying this war to his people, which is why he has locked up the media to prevent the term war from being used. The message from the...
  8. I

    Miaka mitano yote iliisha kwa vitisho na kufokafoka tu hakuna la maana liliofanyika.

    Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika. Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na...
  9. I

    Why don't we inquire Mama Samia to lead our country till she dies?

    My thinking is that mama Samia is too sympathetic, honest, skilled, results oriented, persevere, humble, God fearing, talented, organised, composed, team leader, etc. There has been no such a leader to occur in our premise. The former adminstration was centered on torture, brutality...
  10. I

    Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

    Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani. Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!! Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
  11. I

    Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga. Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso...
  12. I

    Asante mama kwa Sasa private sector iko strong kabisa

    Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu. Sasa hivi kila Kona Kuna fursa kiasi ambacho watu hawaoni tena umaana wa kuajiriwa serikalini tofauti...
  13. I

    Sasa hivi kwanini kila mtu au asilimia kubwa wamekuwa mitume au Mapasta au watumishi? Je, ni ugumu wa maisha!

    Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora. Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona...
  14. I

    Ajaira ajira ajira

    Mkurugenzi wa shule ya wasichana holy eukarist iliyoko mbagala inawatangazia nafasi za masomo Kama ifuatavyo. Physics Chemistry Biology History Geography Civics Kiswahili Kwa mawasiliano piga +255686531343 +255713379428 0766000931
  15. I

    Msaada jamani wenye kujua maswali ya position ya recovery loan specialist.

    Nimeitwa kwenye interview bank ya access micro finance nikafanye written interview lakini mwenye a,b,c ya maswali naomba anisaidie
  16. I

    Maslahi duni ya Walimu: Waziri wa Elimu na wa TAMISEMI wanafanya nini ofisini?

    Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession? Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary. Kwenye...
  17. I

    Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

    Ukishaona Serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuwa kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazimi uwe madhubuti na strong. Msitegemee tena madai ya katiba mpya maana huko ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo Serikali imesema kosoa kwa staha!
  18. I

    Serikali kila siku inapewa pesa kuboresha elimu. Kwanini haiajiri walimu?

    Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji. Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu. Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
  19. I

    Hivi tulivyosoma Slave Trade tulikuwa tunaelewa kweli, au ilimradi liende tu?

    Tumesoma Sana slave trade na moja ya vitu vinavyo leta slavery and na sla e trade low salary as compared to many tasks or duties handled to you. Point yangu ya msingi Ni kwamba hivi inakuwaje mtu ana degree ya ualimu anaenda kufundisha hizi English medium analipwa laki mbili kwa mwezi na bado...
  20. I

    Marekani kuinyamazisha Urusi?

    Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin. Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi. la Marekani ndani ya Belarus Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga...
Back
Top Bottom