waziri wa tamisemi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Kwako Rais Samia kuhusu uhamisho wa mtoto kutoka shule binafsi kwenda ya umma

    Kwa Heshma na Taadhima Nakuandikia ili Ufahamu kero inayowakumba baadhi ya watu katika Mada tajwa hapo juu Ninaye mdogo wangu kutokana na mazingira aliyokuwa nayo Alipelekwa shule binafsi mpaka alipomaliza KIDATO cha pili na kufanya mtihani wazazi wakayumba kimaisha na kupelekea kutokuweza tena...
  2. Influenza

    Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
  3. peno hasegawa

    Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  4. Z

    Waziri TAMISEMI fuatilia posho za mafunzo ya maafisa tarafa na watendaji kata mkoa wa Lindi

    Tunaandika haya kwa uchungu, na masononeko baada ya kufanyiwa ukatili wa kutudhulumu stahiki zetu za posho kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata. Mh. Waziri Manispaa ya Lindi inaundwa na majimbo mawili ya Lindi mjini na Jimbo la Mchinga ambayo zamani ilikua ipo Halmashauri ya Lindi vijijini...
  5. NUMAN

    Waziri Mchengerwa wasaidie watumishi umma, wanahamishwa vituo vya kazi bila kulipwa, wakihoji wanatengenezewa zengwe!

    Najua wewe ni mchapa kazi sana, kuna watumishi wa mamlaka ya serikali za mitaa na halmashauri ambao wanahamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine na wanastahili kulipwa kwa mujibu wa taratibu za kiserikali. Sasa cha ajabu watumishi hao wanahamishwa bila kulipwa kinyume kabisa na Sheria ya...
  6. M

    SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  7. K

    Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
  8. Lil bees

    Kwako Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki

    Ndugu mheshimiwa hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI. Umepata cheo hiki wakati ambao vijana walioajiriwa mwezi wa saba mwaka huu wa 2022 wakiwa wanalalamika kila upande wa hili taifa kuwa wamedhulumiwa hela zao za kujikimu. Zipo wilaya zimewapunja waajiriwa kiasi Kikubwa kweli...
  9. M

    DOKEZO Walimu Sekondari ya Hassanal Damji Bagamoyo hoi bin taaban. Wanakaa chini ya miti, hawana vyoo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hassanal Damji iliyoko Bagamoyo tunayo masikitiko makubwa juu ya mazingira mabovu ya walimu wetu wanaofundisha kwenye shule hiyo ya Serikali. Mazingira ya...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
  11. K

    SoC02 Kufanya kazi na vijana wa kitanzania walio feli kidato cha nne na wapo nyumnani bila kazi yeyote ili wakue kiuchumi na kuajiri vijana wengine

    MOTTO: Kijana na mabadiliko ya uchumi. LENGO: Kusaidia kukua kiuchumi vijana walio hitimu kidato cha nne na kufeli mitihani yao wakiwemo pia vijana wa makundi maalum na wapo nyumbani hawana vyanzo vya kujiingizia vipato na kuwabadilisha kiuchumi wale wasio na elimu kabisa. DIRA: Kuhakikisha...
  12. T

    Ombi: Rais Samia, mteue Dkt. Bashiru Kakurwa kuwa Waziri wa TAMISEMI au Nishati

    Kwako mkuu wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Hassan kijana wako nina ombi mahususi si kwa ajili yangu ila kwa maslahi mapana ya taifa letu, kwa heshima na taadhima naomba nichukue muda wako kulifikisha mbele yako. Ombi langu ni moja tu nalo ni kumteua Dkt.Bashiru kuwa waziri wako wa TAMISEMI au...
  13. Maze runner

    TAMISEMI: Sheria ya serikali za mtaa, the urban planning act 2007 zimepitwa na wakati

    Kumekuwa na claim nyingi juu ya kupandishwa hadhi kwa vijijj, mitaa, na halmashauri kadhaa kutokana na kutimiza vigezo vya kupanda kadhi vilivoekwa na Sheria na kanuni zetu. Suala hili limechangiwa na kupitwa na wakati kwa Sheria mbalimbali zinazoongoza sekta hiyo. Hivyo Kuna uhitaji was wizara...
  14. I

    Maslahi duni ya Walimu: Waziri wa Elimu na wa TAMISEMI wanafanya nini ofisini?

    Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession? Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary. Kwenye...
  15. S

    Hata songwe Hela Uviko zimepigwa, mkurugenzi wake yupo kimya

    Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe. Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
Back
Top Bottom