Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai.

Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi mahitaji.

Kipindi chanyumba mabarabara yalikuwa yameja machinga wenye digri na masters ambapo ilikuwa udhalilishaji lakini rais alikuwa hajaari na watanzania wengine walikuwa wanafurahia ile hali kiwivu wivu eti wasimi wamezidi kujidai Bora wafanane na mburula tu.

Asante manma na bado.
 
Miaka 5 iliyopita ambayo Samia alikuwa makamu wa rais?

Ndiyo maana tumeporomoka kutoka uchumi wa kati.

Tunatumia muda mwingi kujadili ujinga
 
Miaka 5 iliyopita ambayo Samia alikuwa makamu wa rais?

Ndiyo maana tumeporomoka kutoka uchumi wa kati.

Tunatumia muda mwingi kujadili ujinga
Hatujawahi kuingia uchumi wa Kati zile zilikuwa fix za jpm ndo Mana alivifungia vyombo vya habari ili visidadisi huo uchumi umetoka wapi wakato hujawahi kutoa ajira Wala kuongeza mishahara ya wafanyakazi
 
Naomba mnisaidie kitu kimoja kwa kuangalia mwandishi wa huu Uzi atakuwa ameishia darasa la ngapi?
 
Kushikwa mkono na mjomba'ako kwenye hiko kitengo cha ufagizi hapo ofisini kwake usifikiri kila mtu ana nafasi hiyo.

Huyo unayemsifia hana anachoweza kufanya akawasaidia wasomi wa nchi hii wanaoteseka mitaani.
 
Nani anaueteseka kwa sasa
 
Back
Top Bottom